Mfanyabiasha Mzamir afanyiwa kitu mbaya Uchina

MzeePunch

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
1,412
203
Kuna taarifa kwamba mfanyabiashara maarufu wa Dar es Salaam Ajulikanaye kwa jina la Mzamir hivi sasa hana tena uume baada ya kufanyiwa unyama wa kutisha huko China. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa mfanyabiashara huyo, Mzamir alitekwa na watu ambao inadaiwa aliwahi kuwatapeli madini huko Dar na baadaye wakamuwekea mtego ili aende China ambako alijikuta theatre akiwa hana uume. Aliokotwa akiwa hajitambui akakimbizwa hospitali ambako jamaa walichofanya ni kuzuia bleeding na kutibu kidonda. Naambiwa sasa hivi hana raha na nyodo zote zimemuishia.
 
Ukipata Mongolian VD mashine inadondoka yenyewe tu....unabaki na kitundu cha kutolea mkojo tu
 
Hii adhabu ni chafu sana!! inamdhalilisha mtu kwa kweli. Wale jamaa ni balaa. Ndo kumkomoa siyo?
 
Walichowafanyia wale mamiss pale bagamoyo wakina
wema sepetu;ezekiel;upendo msami;mmmh wangeanza tu na makalio wayakate yote...akalie mifupa
wachafu waribifu sana kama unawajua vyema hata kuwasogelea ni najisi
 
Mweeeh! huu sasa si utu jamani.si ni heri wangemdhulumu tuu kuliko kumuondolea uume wake?.Mzamir ana mtoto jamani if not watoto,bu as far as i know ni mtoto.

Hivi padeshee ndiyo nini?.
 
Mweeeh! huu sasa si utu jamani.si ni heri wangemdhulumu tuu kuliko kumuondolea uume wake?.Mzamir ana mtoto jamani if not watoto,bu as far as i know ni mtoto.

Hivi padeshee ndiyo nini?.

pedejee ni kifaransa PDG
President Director General.....
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Duh mi najiuliza atakuwa anakojoaje?
hehehe kingine sex itakuwaje?
Pole sana papa mutu ya watu.
 
Ninamsikitikia mkewe Getrude kwani ni mtoto mdogo sana na jamaa gemu ndio imekwisha, ngoja nimuulize kama na weza kumsaidia kitu chochote.
 
Ndugu mtoa taarifa, tafadhali tupatie chanzo sha habari yako. Kwa sababu hii ni serious case.

If at all walitapeliwa, walikuwa na kila uwezo wa kutoa taarifa na uhuni huo kwa vyombo vinavyohusika na kisha akafikishwa mahakamani na hukumu kutolewa kulingana na ushahidi utakaokuwepo.

Kama haya yote hayakuweza kufanyika, ni dhahili kuwa inawezekana ikawa tuhuma hizo ni za uzushi tu, ambao wafanyabiashara wengi (iwe haramu au halali hufanyiana).

Katika kulitazama suala hili, kutazama chanzo cha taarifa na credibility yake ni muhimu sana kabla hatujaanza kuchangia kwa jazba, ushabiki ama hisia binafsi.

Wasalaam.
 
Nimsaidie Getrude, jamaa sidhani kama alikuwa anaihitaji tena maana imekwisha tumika sana, Getrude ndio bado anahitaji kusaidiwa.

Wengine wana tunza kiapo mkuu. Naahidi kuwa nawe kwenye shida na raha.....dhiki na faraja.....mpaka hapo kifo.........
 
naona akina dada waJF wanalaani sana kitendo cha jamaa kuondolewa silaa yake,mh! me naona poa tu.
 
sasa huyo Getrude viserengeti boys tayari vipo mkao wakula...dah sijui jamaa akiwa anapewa updates atakuwa anaumia au atamuuliza mkewe kwa nn wafanya hivyo....
 
Ninamsikitikia mkewe Getrude kwani ni mtoto mdogo sana na jamaa gemu ndio imekwisha, ngoja nimuulize kama na weza kumsaidia kitu chochote.
Kama hii taarifa ni kweli, basi itakuwa pigo kubwa kwa papaa mkulukulu mana atakuwa ana miss mchezo anaoupenda.Lakini ushauri wangu ni watu kukaa mbali na mkewe.Kama mambo hayako sawa kwake atakuwa na wivu nae kuliko maelezo.Isije naye akamfanyia mtu the same operation kwasababu ya mkewe.
 
sasa huyo Getrude viserengeti boys tayari vipo mkao wakula...

Huu ni ufedhuli mkubwa. Ni nani hapa angependa siku anapata stroke ama hata inatokea ajali na yeye kupoteza viungo kisha mkewe afungue milango kwa whatsoever called Serengeti boys? Kama yupo ajitokeze hadharani tumjue.

Ni vema kutambua ya kwamba hata kama jamaa kweli kapoteza nyezi zake kwa sababu yoyote ila, mkewe atabaki kuwa mkewe na wala hatakuwa "shamba la bibi" kila mjukuu kujichunia chochote apendacho na wakati apendao.

Ni busara isiiyo aghali kuzingatia mahusiano yenye maadili na heshima, kuliko tukianza kuhubiri ukosefu wa nidhamu, uasherati na kushabikia uzinzi.

Pia ni muhimu kutambua kuwa, ikiwa ni kweli yamemkuta jamaa, yeye, mkewe na ndugu, jamaa na marafiki wa kweli watakuwa katika wakati wa majonzi na simanzi kwa kilichotokea. Kuwakebehi ni kukosa utu.
 
Back
Top Bottom