PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 444
Kwahiyo unakubari kuwa ni kweli ulikuwa umechanganyiwa!!- ha! ha! ha! mkuu more swaggaz, I mean nilipoanzisha tawi la CCM nikiwa ng'ambo si mlisema nimechanganyikiwa, sasa na huku tena vipi? ha! ha! ha! sasa unataka nirudi kule nikachanganyikiwe zaidi? ha! ha1 ha!
William.