Mfano wa Kuigwa CCM & Chadema; Huu Hapa!

- Kule US Jeshi la Amerika hupeleka matoi ya kijeshi kwenye shule za chekeckea kuwatayrisha na vita mbele ya safari, unafikiri US wanaingia vita kwa bahati mbaya, hapana ni national interest, huwa inaazia kwenye watoto!



William.
Mfano wako haushabihiani na mada, mmmmmh! kumbe mweupe hivi!
 
- Unaona sasa kumbe tupo wengi sana humu, sawa sawa mkuu!; SALUTE!

William.

William, mkuu Waberoya amekuzuia/shauri tufanye haya kwenye mambo yenye kudumisha utanzania wetu, si kama huyo sijui nani aende shule ya msingi kuchochea mimambo ya siasa kwa watoto ambao tunataka wawe think tanks and creatives for their country, NOT for siasa, waingie kwenye siasa wakikomaa.

Hizo nyimbo wengi TU humu tumeimba, lakini tuliimba kwa ajili ya uzalendo kwa nchi yetu CCM ya wakulima na wafanyakazi ilivyotufundisha, not now, CCM iliyojaa wezi na mafisadi.

Otherwise kila la kheri katika safari yako kujijenga hapa bongo ili ulaji uje pande zako.
 
Back
Top Bottom