Mfano wa Kuigwa CCM & Chadema; Huu Hapa!

- ha! ha! ha! mkuu more swaggaz, I mean nilipoanzisha tawi la CCM nikiwa ng'ambo si mlisema nimechanganyikiwa, sasa na huku tena vipi? ha! ha! ha! sasa unataka nirudi kule nikachanganyikiwe zaidi? ha! ha1 ha!

William.
Kwahiyo unakubari kuwa ni kweli ulikuwa umechanganyiwa!!
 
Kamanda James Mwakibinga, kada wa CCM akiwa na watoto wadogo huko Kawe, hii ndio moja ya njia muhimu sana ya kuimarisha chama chochote cha siasa, ni kuanzia kwa watoto wadogo.

- Huu ndio mfano wa kuigwa na chama chochote cha siasa iwe hapa au Duniani popote pale, hope CCM will take a note here, kwamba zamani Mwalimu Nyerere alifanya haya ya kufikisha chama kwa wananchi kwa kuanzia na watoto, tukiwa watoto tulicheza halaiki, tulicheza Chipukizi, tukiwa Sekondari tulicheza halaiki, and then tulienda JKT!

- Siku hizi ni kila mtu na lwake, ujitahidi mwenyewe tu ufike juu hamna matayarisho no wonder tunakuwa na viongozi wasiowakamilifu na itikadi tena wengi sana!

William.

Pumbaaafuuu!

Hawa watoto hawana madarasa,hawana madawati,hawana vitabu vya kiada,hawana sare nzuri na wengi wao hapa watakuwa wako pekupeku! Sasa unapoenda kuwalaghai kuwa CCM ni chama bora eti kinawajali watoto ni UHUNI wa hali ya juu. CCM mmeshindwa na sera zenu mbovu za Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi(MMEM)na Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari(MMES).

Watoto wanabanana madarasani na wanakaa chini
halafu unawadanganya kuwa CCM chama cha Mafisadi ni kizuri kweli?
Mtoto anamaliza elimu ya Msingi na anachaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari ilhali HAJUI KUSOMA NA KUANDIKA!
Hebu CCM badilikeni muache huu utapeli wa mchana kweupe.
 
kipanaya_19_-_04_-_2012_20120424_1458722797.jpg kipanaya_20_-_04_-_2012_20120424_1248169806.jpg
Mfano wa kuigwa na CCM pekee!!!!!
 
Pumbaaafuuu!

Hawa watoto hawana madarasa,hawana madawati,hawana vitabu vya kiada,hawana sare nzuri na wengi wao hapa watakuwa wako pekupeku! Sasa unapoenda kuwalaghai kuwa CCM ni chama bora eti kinawajali watoto ni UHUNI wa hali ya juu. CCM mmeshindwa na sera zenu mbovu za Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi(MMEM)na Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari(MMES).

Watoto wanabanana madarasani na wanakaa chini
halafu unawadanganya kuwa CCM chama cha Mafisadi ni kizuri kweli?
Mtoto anamaliza elimu ya Msingi na anachaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari ilhali HAJUI KUSOMA NA KUANDIKA!
Hebu CCM badilikeni muache huu utapeli wa mchana kweupe.

- ha! ha! ha! naona somo lameeleweka hili, maana matusi ndio huwa njia ya JF kuonyesha somo limeeelweka, that is all I could ask from the Great Thinkers.

William.
 
Nyimbo sometimes huponya maradhi

Bruce Springsteen - Trapped - YouTube

Well it seems like I'm caught up in your trap again
And it seems like I'll be wearin' the same ol' chains
Good will conquer evil and the truth will set you free
And I know someday I'll find the key
Then I know somewhere I will find the key
Well it seems like I've been playin' the game way too long
And it seems the game I played has made you strong
Well when the game is over, I won't walk out the loser
And I know that I'll walk out of here again
And I know someday I'll walk out of here again

But now I'm trapped! Ooh yeah!
Trapped! Ooh yeah yeah!
Trapped! Ooh yeah!
Trapped! Ooh yeahhh!

Now it seems like I've been sleepin' in your bed too long
And it seems like you've been meanin' to do me harm
But I'll teach my eyes to see beyond these walls in front of me
And someday I'll walk out of here again
Yeah I know someday I'll walk out of here again

But now I'm trapped! Ooh yeah!
Trapped! Ooh yeah yeah!
Trapped! Ooh yeah!
Trapped! Ooh yeahhh!

Now it seems like I've been playin' your game way too long
And it seems the game I played has made you strong

Because I'm trapped! Ooh yeah!
Trapped! Ooh yeah yeah!
Trapped! Ooh yeah!
Trapped! Ooh yeahhh!

I'm trapped! Ooh yeah!
Trapped! Ooh yeahhh!
Trapped! Ooh yeah!
Trapped! Ooh yeahhh!
I'm trapped
 
- kule us jeshi la amerika hupeleka matoi ya kijeshi kwenye shule za chekeckea kuwatayrisha na vita mbele ya safari, unafikiri us wanaingia vita kwa bahati mbaya, hapana ni national interest, huwa inaazia kwenye watoto!

William.

haya serikali ya ccm pelekeni matoi ya mafisadi kwenye shule za chekechea ili kuwatayarisha watoto na mwendelezo wa ufisadi mbele ya safari. Ccm ya zamani si ya leo.
 
Ni wazo zuri kuanza kwa watoto ila nazani tu invest kwenye uzalendo cuz naona ndo tatizo la taifa kwa sasa na vyama vinachochea kuua huu uzalendo
 
I Dont belive you William! Kweli wewe umekwenda JKT? Kama kweli umekwenda JKT twambia ilikuwa mwaka gani? Kambi gani? na Operation gani? Ikibidi twambie CO kambi hiyo kwa wakati huo?
 
- Kule US Jeshi la Amerika hupeleka matoi ya kijeshi kwenye shule za chekeckea kuwatayrisha na vita mbele ya safari, unafikiri US wanaingia vita kwa bahati mbaya, hapana ni national interest, huwa inaazia kwenye watoto!

William.

Two different things!
 
Mie Kila siku huwa nasema nina wasiwasi na akili, au uelewa wa Wile.. mie nikisema hivi yeye anadhani siasa , kweli kuna uwalakini.. hapa leo Tunapandiwa malalamiko kwamba wazanzibari wanafelishwa mitihani yao, halafu huku kuna mwananchi mwingine bila aibu anashangilia wanafunzi kuchomekewa mawazo ya na propaganda za kisiasa mashuleni maskini ya Mungu hawa..!!

Hivi Azimio la Kupiga BAN!! siasa mashuleni lilipotolewa wenzetu nyie mlikuwa wapi? Siasa mashuleni unafananisha na Silaha za Ma-toys, wanazofundishiwa wanafunzi wa UK, China, Spain, North Korea atc.. au hujasafiri huko wewe unajua tu US kila kitu.. Wabeba maboksi wana shida kwelikweli?

Yaani wewe Siasa na Vita unaviweka level Moja? wat iz zis ze-bahariaz. unamaanisha Tuige Mfano wa Kuwatumia maskini watoto wetu hawa kwenye tasnia ya siasa na kuwadidimizia fikra za kipropaganda kwenye bongo za akili zao, watasoma nini na kuelewa nini jamani..

Mie sijui kwanini sikusomea sheria, Mwakibinga Huyu Ningemburuzia mbali Kortini.. Inauma.. Kitendo cha kupiga marufuku kuna mtu anakiunga mkono huku.. hizi tutaziita akili?

Lazima KIKEMEWE!! Na mpenda ELIMU YEYOTE..
 
Hakuna mantiki yoyote hapo....

Kichwa cha habari na ujumbe haviendani kabisa; sijui wakati mwingine ni bange au mipombe au basi tu uwezo unakua umefika mwisho??
 
- ha! ha! ha! bro huku bongo hizi zinaitwa swagazzz!, I mean a normal perosn like you kuja kujadili na abnormal inajisema yenyewe kama wewe ni what? ha! ha! ha!

William.
William ukiangalia picha ya thread yako na maudhui unayotaka kutupatia sisi great thinkers yanatia shaka imani yetu kwako kama unaweza kuwa kiongozi bora wa sasa na baadaye. Jaribu kutoa thread zenye maono ya kulikomboa taifa letu.
 
Hivi huyu ni mmoja wapo wa vijana wa ccm nape anawategemea wamsaidie kweli huyu kazaliwa pazuri kasoma pazuri kaishi kuzuri halafu anamawazo ya hivi aaaaaagh ;
badala ya kuja na hoja za zile barabara za juu kule us anatuletea huu upuuzi hana tofauti na tambwe hiza sku zile alipeleka watoto wazibe nafasi kwenye mjadala wa katiba kule dar na dom
 
hakunaga mfano wa kuigwa hawa wanafunzi waliombwa kuvushwa barabara tu, ndio wakamshukru kwa alama ya CDM
 
Mawazo yako na idadi ya kura ulizopata kwenye uchaguzi wa EAC vinafanana kabisa. Sasa hapo ndio umeleta nini? Yani umepoteza muda wangu bure kusoma hoja nyepesi kama hii.
 
Kwanza hongera kwa kubadili avatar yako. Sasa ni ya uhalisia na jina lako, mwanzoni ilituchanganya.

Mimi nadhani uwekezaji wa itikadi ya kichama kwa watoto si tena jambo la maana na hasa ukizingatia idadi ya vyama, bali zaidi sana ni kuwekeza kwa kiasi kubwa kwenye uraia na uzalendo.

Mfano wa mwanasesere wa kivita wa US si wa kichama bali ni wa kitaifa.

Lakini William nadhani umekunywa maji ya kijani na gamba lipo mpaka kwenye mifupa yako kiasi kuwa hufikiri zaidi tu juu ya namna ya kuiwezesha chama chako cha magamba. M4C haijakupitia ukatae gamba na fahari zake zote za rushwa? Upokee CDM.....
 
Kamanda James Mwakibinga, kada wa CCM akiwa na watoto wadogo huko Kawe, hii ndio moja ya njia muhimu sana ya kuimarisha chama chochote cha siasa, ni kuanzia kwa watoto wadogo.

- Huu ndio mfano wa kuigwa na chama chochote cha siasa iwe hapa au Duniani popote pale, hope CCM will take a note here, kwamba zamani Mwalimu Nyerere alifanya haya ya kufikisha chama kwa wananchi kwa kuanzia na watoto, tukiwa watoto tulicheza halaiki, tulicheza Chipukizi, tukiwa Sekondari tulicheza halaiki, and then tulienda JKT!

- Siku hizi ni kila mtu na lwake, ujitahidi mwenyewe tu ufike juu hamna matayarisho no wonder tunakuwa na viongozi wasiowakamilifu na itikadi tena wengi sana!

William.

Mkuu watoto wa siku hizi hizo nadharia ulizozijaza hapo kwenye bandiko lako wala hawajishughulishi nazo. Utafanya mbwembwe zoooote mwishowe wataishia kukuonyesha alama ya vidole viwili
 
Kamanda James Mwakibinga, kada wa CCM akiwa na watoto wadogo huko Kawe, hii ndio moja ya njia muhimu sana ya kuimarisha chama chochote cha siasa, ni kuanzia kwa watoto wadogo.

- Huu ndio mfano wa kuigwa na chama chochote cha siasa iwe hapa au Duniani popote pale, hope CCM will take a note here, kwamba zamani Mwalimu Nyerere alifanya haya ya kufikisha chama kwa wananchi kwa kuanzia na watoto, tukiwa watoto tulicheza halaiki, tulicheza Chipukizi, tukiwa Sekondari tulicheza halaiki, and then tulienda JKT!

- Siku hizi ni kila mtu na lwake, ujitahidi mwenyewe tu ufike juu hamna matayarisho no wonder tunakuwa na viongozi wasiowakamilifu na itikadi tena wengi sana!

William.
Wewe ndo uliyekua mgomea wa bunge la Afika mashariki?
 
William,

..hapana, tutawaharibu watoto na future yao.

..hawa watoto wangechangamshwa kwa mambo ya teknolojia, hesabu, sayansi, michezo,etc etc.

..siasa itawafaa wakati wameshajitambua may be around 17 yrs.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom