Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,683
Habarini wandugu! Nina rafiki yangu naweza kusema kuwa huwa anapatwa na mfadhaiko kutokana na maelezo yake. Amekuwa akipatwa na hali hii pindi aonapo upaja na miguu mizuri ya wadada hasa wanaovaa vimini, huwa anatamani hata tu amuombe mdada kuingia chumvini! Mbaya zaidi ni pale anapokaa karibu na mdada wa aina hiyo kwenye daladala anahangaika njia nzima mpaka atakapo fika yeye au huyo mdada, Naomba msaada wa kumshauri au kama ni tatizo basi afanyeje aondokane nalo