Mfadhaiko

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Habarini wandugu! Nina rafiki yangu naweza kusema kuwa huwa anapatwa na mfadhaiko kutokana na maelezo yake. Amekuwa akipatwa na hali hii pindi aonapo upaja na miguu mizuri ya wadada hasa wanaovaa vimini, huwa anatamani hata tu amuombe mdada kuingia chumvini! Mbaya zaidi ni pale anapokaa karibu na mdada wa aina hiyo kwenye daladala anahangaika njia nzima mpaka atakapo fika yeye au huyo mdada, Naomba msaada wa kumshauri au kama ni tatizo basi afanyeje aondokane nalo
 
inawezekana ni wewe mwenyewe ndo unataka ushauri hapa, kuwa wazi tukusaidie
 
Huyo anawaza ngono sana ina maana hajazoea kuona mapaja na miguu mizuri?? Ushauri: aje kwangu nitamuonyesha weeeeee mpaka hamu iishe hakuna kugusa wala kukaribia kugusa anachoona. ale na macho tu.
Some people have issues lol
 
Hongera kwa kujaaliwa uumbaji!! :A S 39:
 
Hataweza kuvumilia anahitaji ata apate chumvi kidogo
 
We una hakika gani kuwa hayo mapaja yako ni mazuri kwa viwango vya huyo jamaa!!!!!!just curious.
 
We toa ushauri kwani lazima anayewakilisha issue awe ndo yeye! Mbona una mawazo madogo kuliko PHD? yenyewe
 
Huyo anawaza ngono sana ina maana hajazoea kuona mapaja na miguu mizuri?? Ushauri: aje kwangu nitamuonyesha weeeeee mpaka hamu iishe hakuna kugusa wala kukaribia kugusa anachoona. ale na macho tu.
Some people have issues lol

Ni PM unipatie namba yako akutafute:A S tongue:
 
huyo anawaza ngono sana ina maana hajazoea kuona mapaja na miguu mizuri?? Ushauri: Aje kwangu nitamuonyesha weeeeee mpaka hamu iishe hakuna kugusa wala kukaribia kugusa anachoona. Ale na macho tu.
Some people have issues lol
angalia usiche ukabakwa!!!!!!
 
Huyo ana mashetani - jini mahaba. Mwambie awaone walokole waaitoe hiyo tamaa mbaya ya ngono. Kuna jamaa pale tanganyika parkers wanatimua sana mashetani kama hayo.
 
Huyo anawaza ngono sana ina maana hajazoea kuona mapaja na miguu mizuri?? Ushauri: aje kwangu nitamuonyesha weeeeee mpaka hamu iishe hakuna kugusa wala kukaribia kugusa anachoona. ale na macho tu.
Some people have issues lol

Utabakwa wewe...shauri lako
 
Hiyo siku inabidi uje na bounser wa nguvu, vinginevyo itakula kwako!.
 
Mwaliko huu ni kwa wote wenye tatizo kama hili?
 
nimecheka mpaka basi,jamaa lazima mate yaishe mdomoni na mguu wa tatu utasimama mpaka mirija ipasuke
 
inawezekana ni wewe mwenyewe ndo unataka ushauri hapa, kuwa wazi tukusaidie

we ustake kujua nani bwana
we asi utoe ushauri tu jaman ata km yeye au mjomba ake its ok u just gv hm wat he want

ana demu uyo jamaa??
inawezekana ajapata mzigo siku nyng ndo mana anakuwa ivo!!!!!!1
sa km akienda club inakuwaje?na yale mavazi yetu ya kule??????asi inakuwa kafanya kidumu chama cha mapinduzi mwanzo mwsho???????
pole mwaya ebu mcheki mwanasaikolojia inawezekana ni .sjui wanaita anexia....sjui wanaitaje vile.........sjui fobia labda mapaja fobia???
ahh mi sjui bt t has smthng to do wth mind n saikoloji kwa ujumla .
pole
 
Huyo anawaza ngono sana ina maana hajazoea kuona mapaja na miguu mizuri?? Ushauri: aje kwangu nitamuonyesha weeeeee mpaka hamu iishe hakuna kugusa wala kukaribia kugusa anachoona. ale na macho tu.
Some people have issues lol

We dada wewe! Haya hebo ngoja usikie wazalendo wanakuambia nini kwenye hii yuziful posti yako:

Hongera kwa kujaaliwa uumbaji!! :A S 39:

Hataweza kuvumilia anahitaji ata apate chumvi kidogo

We una hakika gani kuwa hayo mapaja yako ni mazuri kwa viwango vya huyo jamaa!!!!!!just curious.

Ni PM unipatie namba yako akutafute:A S tongue:

Utabakwa wewe...shauri lako

Hiyo siku inabidi uje na bounser wa nguvu, vinginevyo itakula kwako!.

Mwaliko huu ni kwa wote wenye tatizo kama hili?

JS usiniambie wewe ni mama huruma.....

nimecheka mpaka basi,jamaa lazima mate yaishe mdomoni na mguu wa tatu utasimama mpaka mirija ipasuke

Dada yangu JS haya yoooote umeyasababisha wewe na mapaja yako....LOL:target:
 
Huyo anawaza ngono sana ina maana hajazoea kuona mapaja na miguu mizuri?? Ushauri: aje kwangu nitamuonyesha weeeeee mpaka hamu iishe hakuna kugusa wala kukaribia kugusa anachoona. ale na macho tu.
Some people have issues lol
ata mimi nina tatizo hilo.... naruhusiwa kuja kuangalia tafadhali?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom