Men only!!

kwa maana ya kukutana kimwili inawezekana kukaa muda hata zaid...
ila vya hewani hewani lazima lazima lazima viwepo
punyeto...ndoto za kujipiga bao lazma...unapata relief!
 
Kumbe mnatudanganya eeeh eti nina miaka mitano i love u so much
wizi mtupu ngoja

yote yawezekana kaama waamini kuwa waweza kuhimili vishindo vya tamaa za kimwili
 
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?

Nothing impossible. Hii inawezekana 100% kulingana na fikra na mtazamo wa mtu mwenyewe bila peer advice. Lakini pia inategemea na uzoefu alionayo mtu kwenye mahusiano ya kimapenzi. Kwa mtu ambaye ameshakuwa na mahusiano ya kimapenzi, itakuwa ngumu kwa kiasi fulani. Hebu rejea theory ya "Maslow hierarchy of needs". Sex imeonyeshwa kuwa ni muhimu kama chakula, hewa, usingizi nk. i.e (phyisiological needs).
 
Kumbe mnatudanganya eeeh eti nina miaka mitano i love u so much
wizi mtupu ngoja

"Ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu"

"Ingekuwa kama penseli, kila unapozini inachongwa, wengine wangebaki na kifutio"
 
mkuu umewahi kusikia kitu kinaitwa 'kundalini yoga'? Hebu google neno hilo,you will learn something.Ngono sio muhimu na wala sio ya lazima kihivyo,binadamu tunaiendekeza tu.Ngono was basically meant,kama ilivyo kwa wanyama wote,for procreation na sio entertainment.
 
MBONA mapadri na mabruda wanakaa kwa lifetime yote bila kufanya!

Asikudanganye mtu, mimi nimebahatika kukaa na hao mabwana wanachapana kwa kwenda mbele, jiulize kwa nini kwenye tasisi zao, kama vile seminari au kwenye parokia ziko enclosed na kuna huduma zote self contained i.e. gesti, baa, hospitali, duka, etc. Waulize masista, mimi kuna mmoja nilimchapa tukiwa chuo pale UDSm, alikuwa ananifuata fuata, ooh, mara twende tukasome discussion, ooh, naomba madesa etc. siku ya siku akaingia line mwenyewe. Jamani nao ni wanadamu na wana hisia kama wengine, acheni uongo.
 
hivi isaac newton alikuwaje?

They had a thought he was gay, no proof though. Same implications to the famous Leonardo of Vinci. a famous multi-skilled invertor. But I think most of scientist are that way because of spending much of their energy in thinking, maybe that.
 
Kama mtu hajawahi fanya ngono toka azaliwe its possible but kama ulishawahi kufanya inakuaga vigumu kidogo..but inawezekana.
 
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?

Ndio inawezekana kabisa.
Kwanza ni kujiepusha na vile vinavyo amsha hisia kadri uwezavyo, lakini pia ni kwa kua bize na shughuli zako.
Lakini mwisho nikua imara katika IMANI yako pia ni muhmu sana na husaidia sana.
 
Asikudanganye mtu, mimi nimebahatika kukaa na hao mabwana wanachapana kwa kwenda mbele, jiulize kwa nini kwenye tasisi zao, kama vile seminari au kwenye parokia ziko enclosed na kuna huduma zote self contained i.e. gesti, baa, hospitali, duka, etc. Waulize masista, mimi kuna mmoja nilimchapa tukiwa chuo pale UDSm, alikuwa ananifuata fuata, ooh, mara twende tukasome discussion, ooh, naomba madesa etc. siku ya siku akaingia line mwenyewe. Jamani nao ni wanadamu na wana hisia kama wengine, acheni uongo.

Acha hadithi wewe!
 
Hyo inategemea na shughuli na mahala pako pa makazi yaan"residential and occupational statu"..kama we ni mwalimu,daktari,meneja wa bar au kilabu na mchungaji wa "kkkkt"lazima utakuwa na hali tete kwa vishawasha!
 
inawezekana kabisa. mimi ni shahidi. kabla sijaoa,nikiwa kama kijana niliweza kukaa kwa zaidi ya miaka zaidi ya 9 bila kumjua mtu mke. neema ya BWANA YESU yatosha kukufanya mshidi. ila ukishaoa (ukisdhaonja tunda) ni vigumu kukaa miaka yote hiyo.
 
Back
Top Bottom