GY
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,279
- 126
Nani tena? Me sio mwanamke bana
:shock:
Nani tena? Me sio mwanamke bana
MBONA mapadri na mabruda wanakaa kwa lifetime yote bila kufanya!
PJ nani kakudanganya hao mapadri hawa-do?
Teh jamaa hapo juu kasema mbona mapadre wanaweza kwanini wengine washindwe???Kweli jamani tuwe wakweli!Miaka 3 ni sawa na siku 1095. Wakuu ivi kweli inawezekana hii kitu, na kila siku ukipita kitaa unaona vitu tofauti, dah!Mi nadhani its not possible.
Kumbe mnatudanganya eeeh eti nina miaka mitano i love u so much
wizi mtupu ngoja
Kumbe mnatudanganya eeeh eti nina miaka mitano i love u so much
wizi mtupu ngoja
ujui usemacho jipange upya mkuu.Mi najua wanawake wana uwezo huo ila wanaume HATUNAGA
dah wangu ana mwaka eti kaokoka kumbe ndo maana ngojaHivi na wewe huwa unaamini?
Akikaa miezi miwili
Labda awe anafanya kazi kama wale wa kusimamia ulinzi wa waogeleaji kwenye swimming pool
Kinakuwa kama kimsumari cha kutundikia nguo za waogeleaji
Chezeiya wanamme wewe
Mkuu masister wana kaziii!!!MBONA mapadri na mabruda wanakaa kwa lifetime yote bila kufanya!
1. Kama unacharge na ni mzima wa afya ni ngumu sana hiyo maana mwili hufanya kazi yake kama kawaida.
2. Gari ulipaki kwa miaka mitatu bila kulistua stua bado unasema una gari? hapo lazima injini iharibike.Haifai tena.
3. Watu wa dizaini hii ni wataalamu wa kujichua.....daily yupo busy na.......
4. Labda uwe mtu wa mazoezi sana au upigwe sindano ya.........hapo mambo yatatulia. Vinginevyo.....
NI NGUMU SANA.