Sawa,unauma hauumi lakini unaweza kuwa na tatizo huko.
Kawaambie wazazi wako kwamba una tatizo kwenye UBOHO uone reaction yake.........
Hoja umeshindwa umebaki kuhisi hisi tu eti nimebadili ID.
Kanunue kamusi ya Kiswahili sanifu. Kama huna hela omba utapewa.
Tatizo lake jamaa anapenda mizaha mizaha sana. Alosema uboho tusi ni nani?Kama hujui UBOHO SI TUSI, KWA KIZUNGU NO BONE MARROW (hope umeelewa mana nyie lugha zenu mnaonaga matusi) lol
Nimeshasema sina wazazi wenye ufahamu mdogo. Wazazi wangu wote wamesoma na wakaelimika na ni wasomi wanaoheshimika.
Na ni wao walionipa hiyo tafsiri ya bone marrow kwa Kiswahili.
Scofield we ni mTZ au ndo we ndo yule wa ukweli wa Prison Break?Kama we ndo boyfriend wa Sarah basi sikulaumu Ila jifunzeni kuziua lugha zanu. Kama ID hii ni tusi basi tusubiri ifunhiwe
Mie nakuomba uende kwa baba na mama yako alafu ukifika uwaambie uboho unakuuma, then wakishika kichwa na kutaka kukuachia radhi, ndipo uwafafanulie kuwa ni mfupa wa mguu ndio unaouma. kama hawajakutimua.
Kama una wazazi wenye upeo mkubwa na wakazaa mtoto kama wewe
basi inabidi warudi kupima either DNA au kuthibitisha kama wana upeo mkubwa
kweli isije kuwa ni wale nao waona chuoni wana hangaika na madesa kwenye umri mkubwa hivi.
Tatizo lake jamaa anapenda mizaha mizaha sana. Alosema uboho tusi ni nani?Kama hujui UBOHO SI TUSI, KWA KIZUNGU NO BONE MARROW (hope umeelewa mana nyie lugha zenu mnaonaga matusi) lol
Ili kumaliza ubishi naomba unipe tafsiri ya bone marrow kwa Kiswahili.
Okey,....umesema sio tusi.
Lakini katika serikali ya kichwa chako inabidi uangalie watu wengine watachukulia
vipi jina lako,...ni kama avatar tu sio kwakua mtu kafunika benki kuu na kifuani basi itoshe
kusema hayuko uchi.
Nimesema "KUMAR" ni jina la kihindi.........
Kwa kutumia mamlaka ya kichwa chako unaweza litumia jina hilo hapa?
Achilia mbali wengine huwa wanashindwa kulisoma in public.
Ukitaka kujua neno ni zuri au baya angalia kama unaweza
kulitamka mbele ya mzazi wako wa kike.................
Ukiweza baaaaasi,neno hilo limepita mtihani wa maadili mema.
Wewe ni mgumu kuelewa na mwepesi sana kusahau.
Rejea niliyo kwambia pale juu,....naimani MODS wata suluhisha hili.
Haueleweki kabisa ujue,..........
Jina lako lisipo badilishwa hadi kufikia juma3 naanza kuitwa KUMAR.
Nipe tafsiri ya bone marrow kwa Kiswahili