Mapenzi....wanawake mnakosea sana

Selwa

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
543
524
https://youtu.be/zRUlBXRYqD4

Katika pita pita zangu jana nimefanikiwa kuangalia interview za wanawake wawili walioacha ndoa zao Lisa wa Mabeste na Shamsa Ford... baada ya kusikiliza nimeona niandike huu uzi labda mtanielewa
Wanawake acheni kuforce mahusiano,mtaja umia vibaya sana.
1. Huwezi kua na uhusiano ambao una mwezi au miezi miwili afu ukawa unaishi na bwana hapo hapo ukajifungia kwa kweli me kama mwanaume siwezi kukuheshimu yani kirahisi hivo? Yani upate mtu mwenye uelewa wa hali juu labda ndo atakuelewa miezi miwili ndi mnaishi wote na mtoto juuu hata familia yangu itakushangaa. ila wanawake jamani tumieni birth control haiwezekani miezi miwili ya mahusiano una mimba! mtawasumbua watoto. Shamsa ndo akaniacha hoi wiki tatu baada ya kujuana na jamaa akaolewa...ivi mko serious kweli?
2. muache mwanaume afight kukupata usijirahisishe hata siku moja. atakuheshimu akiwa ametumia akili kukupata. me mwanamke ambae sijahangaika nae kwa kweli anikati stimu ila kama wife aise nimehustle mpaka yule mwanamke kuwa wangu I feel proud kwamba yani she was worth it kupata yeye ilikuwa bahati
3. usimsaidie mtu majukumu yake aise... ikitokea unamsaidie Mkopeshe na sio unamlemaza kusaidia kila siku kila kitu wewe unamvua wanaume wake. Shamsa anasema analiparent yeye na kaolewa mara analipa rent ya duka mume anakimbilia China wakati huo huo Lisa Nasema alimkopesha mwanaume mahari...aise sasa unaendelea nae wa nini? mtu hana ata mahari kukutolea humo ndani mtaishhije mtu alipo hana rent na mmeoana ndani unaishi nini?
Siri moja wanawake kama Mwanaume anakutamkia neno Ndoa kaeni chini pigeni mahesabu. wote mnaingiza kiasi gani kwa mwezi na mahitaji yenu ni nini mtayamudu vipi na ikishindikana namna mnavofikiri inakuaje. muweke mipango kabisa kama hauna kazi akuambie na atakusaidie vipi uache kukaa nyumbani ili kussupport kulea familia sio unaolewa tu hujui ata utakula nini
4. Kabla hujaolewa mchunguze mtu kama kajipanga kimaisha kama bado hajajipanga yeye mwenyewe kama mwanaume usitegemee hio ndoa itakua smooth maaana yeye bado hajajisimama.
5. wanawake kuweni serious na kitu inaitwa ndoa. mshirikishe Mungu. yule dada Lisa sijamuelewa kabisa...ndugu wa familia hawakupendi bado mwanaume haleti kitu ndani bado unangangania ukaolewa nae..sasa alikuwa anategemea nini hasa? Naamini kabisa kama hawa wanawake wangemshirikisha Mungu kabla ya ndoa hao wanaume wangeondoka mapema tu wadada msichukulie kirahisi ndoa nawasihi kama mtu ni mvivu kwenye uhusiano kwenye ndoa ntakua mvivu mara 10. kama mtu ni mchovu kwenye uhusiano kwenye ndoa ntakua mvivu mara 10.
Na wanaume acheni kubeba majukumu ambayo hamuyawezi mbona mnasumbua dada za watu... huna hela ya rent unao ili iweje? huna kipato unaoa kufanya nini utamlea vipi mtoto wa watu...usiwe na haraka wewe tafuta hela muweke sawa ukipata pesa ambayo ina uhakika unaweza kula kila mwezi na rent haikupigi chenga ndo uoe.... me nshamaliza wakuu
 
https://youtu.be/zRUlBXRYqD4

Katika pita pita zangu jana nimefanikiwa kuangalia interview za wanawake wawili walioacha ndoa zao Lisa was Mabeste na Shamsa Ford... baada ya kusikiliza nimeona niandike huu juzi labda mtanielewa
Wanawake acheni kuforce mahusiano,mtaja umia vibaya sana.
1. Huwezi kua na uhusiano ambao una mwezi au miezi miwili afu ukawa unaishi na bwana hapo hapo ukajifungia kwa kweli me kama mwanaume siwezi kukuheshimu yani kirahisi hivo? Yani upate mtu mwenye uelewa wa hali juu labda ndo atakuelewa miezi miwili ndi mnaishi wote na mtoto juuu hata familia yangu itakushangaa. ila wanawake jamani tumieni birth control haiwezekani miezi miwili ya mahusiano una mimba! mtawasumbua watoto. Shamsa ndo akaniacha hoi wiki tatu baada ya kujuana na jamaa akaolewa...ivi mko serious kweli?
2. muache mwanaume afight kukupata usijirahisishe hata siku moja. atakuheshimu akiwa ametumia akili kukupata. me mwanamke ambae sijahangaika nae kwa kweli anikati stimu ila kama wife aise nimehustle mpaka yule mwanamke kuwa wangu I feel proud kwamba yani she was worth it kupata yeye ilikuwa bahati
3. usimsaidie mtu majukumu yake aise... ikitokea unamsaidie Mkopeshe na sio unamlemaza kusaidia kila siku kila kitu wewe unamvua wanaume wake. Shamsa anasema analiparent yeye na kaolewa mara analipa rent ya duka mume anakimbilia China wakati huo huo Lisa Nasema alimkopesha mwanaume mahari...aise sasa unaendelea nae wa nini? mtu hana ata mahari kukutolea humo ndani mtaishhije mtu alipo hana rent na mmeoana ndani unaishi nini?
Siri moja wanawake kama Mwanaume anakutamkia neno Ndoa kaeni chini pigeni mahesabu. wote mnaingiza kiasi gani kwa mwezi na mahitaji yenu ni nini mtayamudu vipi na ikishindikana namna mnavofikiri inakuaje. muweke mipango kabisa kama hauna kazi akuambe na atakusaidie vipi uache kukaa nyumbani ili kussupport kulea familia sio unaolewa tu hujui ata utakula nini
4. Kabla hujaolewa mchunguze mtu kama kajipanga kimaisha kama bado hajajipanga yeye mwenyewe kama mwanaume usitegemee hio ndoa itakua smooth maaana yeye bado hajajisimama.
5. wanawake kuweni serious na kitu inaitwa ndoa. mshirikishe Mungu. yule dada Lisa sijamuelewa kabisa...ndugu wa familia hawakupendi bado mwanaume haleti kitu ndani bado unangangania ukaolewa nae..sasa alikuwa anategemea nini hasa? Naamini kabisa kama hawa wanawake wangemshirikisha Mungu kabla ya ndoa hao wanaume wangeondoka mapema tu wadada msichukulie kirahisi ndoa nawasihi kama mtu ni mvivu kwenye uhusiano kwenye ndoa ntakua mvivu mara 10. kama mtu ni mchovu kwenye uhusiano kwenye ndoa ntakua mvivu mara 10.
Na wanaume acheni kubeba majukumu ambayo hamuyawezi mbona mnasumbua dada za watu... huna hela ya rent unao ili iweje? huna kipato unaoa kufanya nini utamlea vipi mtoto wa watu...usiwe na haraka wewe tafuta hela muweke sawa ukipata pesa ambayo ina uhakika unaweza kula kila mwezi na rent haikupigi chenga bdo uoa.... me nshamaliza wakuu
Message sent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshindwa hata kuumalizaaa maana akiri yako sijailewa kutetea ujinga ujinga;unatetea mwanamke ww? Subiri kisanga chako hata kam si leo mwanamke hata umnunulie kichwa cha semi atembeleee kwa akir yak3 ataenda petrol steshen amepelza buku aongezewe NA dreva wa boda anagawa namb kinachofata ni story....

Mwanaume kama nmwelewa ataelewaa kukubariwa haraka haimanishi mtu huyu ni maraya ila ni namna tu ya kuzitambua hisiaa zake
Je hukuwah kujua hata malaya si kila mmoja anamkubaria for single day? Na wengne H awapgi kabsa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aliyeelewa kaelewa

Unaweza kukaa na mwanamke Hana kazi hata miaka kumi lakini mwanamke huyo akinunua nyama siku moja mtaa mzima utajua

Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
 
Nimeshindwa hata kuumalizaaa maana akiri yako sijailewa kutetea ujinga ujinga;unatetea mwanamke ww? Subiri kisanga chako hata kam si leo mwanamke hata umnunulie kichwa cha semi atembeleee kwa akir yak3 ataenda petrol steshen amepelza buku aongezewe NA dreva wa boda anagawa namb kinachofata ni story....

Mwanaume kama nmwelewa ataelewaa kukubariwa haraka haimanishi mtu huyu ni maraya ila ni namna tu ya kuzitambua hisiaa zake
Je hukuwah kujua hata malaya si kila mmoja anamkubaria for single day? Na wengne H awapgi kabsa?

Sent using Jamii Forums mobile app
ni hivi bro upendo wa mwanamke haununuliki...kama unaona mwanamke unagharamia na bado anapepesa macho ujue kuna sehemu humkuni kisawasawa..sio formula kwamba mwanamke ukimnunulia gari au nyumba atasahau Mapungufu yako ya kitandani au maeneo mengine...kwani wewe mwanamke akiwa anajitegmea kwa kila kitu hakusumbui pesa kama ni gogo kitandani utavumilia
 
Haya mambo yaacheni tu kama yalivo,
Watakaoweza kuzingatia hayo wapo ila sio wote,

Sasa mtu kama akili ya kujitambua wew mwenyewe huna,, ataye kutaka atumie akili nyingi za nn sasa?

BIG BRAIN MATTER MORE.
 
Mapenz kunoga
Screenshot_20200109-200200.jpeg
tapatalk_1578722651347.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
https://youtu.be/zRUlBXRYqD4

Katika pita pita zangu jana nimefanikiwa kuangalia interview za wanawake wawili walioacha ndoa zao Lisa wa Mabeste na Shamsa Ford... baada ya kusikiliza nimeona niandike huu uzi labda mtanielewa
Wanawake acheni kuforce mahusiano,mtaja umia vibaya sana.
1. Huwezi kua na uhusiano ambao una mwezi au miezi miwili afu ukawa unaishi na bwana hapo hapo ukajifungia kwa kweli me kama mwanaume siwezi kukuheshimu yani kirahisi hivo? Yani upate mtu mwenye uelewa wa hali juu labda ndo atakuelewa miezi miwili ndi mnaishi wote na mtoto juuu hata familia yangu itakushangaa. ila wanawake jamani tumieni birth control haiwezekani miezi miwili ya mahusiano una mimba! mtawasumbua watoto. Shamsa ndo akaniacha hoi wiki tatu baada ya kujuana na jamaa akaolewa...ivi mko serious kweli?
2. muache mwanaume afight kukupata usijirahisishe hata siku moja. atakuheshimu akiwa ametumia akili kukupata. me mwanamke ambae sijahangaika nae kwa kweli anikati stimu ila kama wife aise nimehustle mpaka yule mwanamke kuwa wangu I feel proud kwamba yani she was worth it kupata yeye ilikuwa bahati
3. usimsaidie mtu majukumu yake aise... ikitokea unamsaidie Mkopeshe na sio unamlemaza kusaidia kila siku kila kitu wewe unamvua wanaume wake. Shamsa anasema analiparent yeye na kaolewa mara analipa rent ya duka mume anakimbilia China wakati huo huo Lisa Nasema alimkopesha mwanaume mahari...aise sasa unaendelea nae wa nini? mtu hana ata mahari kukutolea humo ndani mtaishhije mtu alipo hana rent na mmeoana ndani unaishi nini?
Siri moja wanawake kama Mwanaume anakutamkia neno Ndoa kaeni chini pigeni mahesabu. wote mnaingiza kiasi gani kwa mwezi na mahitaji yenu ni nini mtayamudu vipi na ikishindikana namna mnavofikiri inakuaje. muweke mipango kabisa kama hauna kazi akuambie na atakusaidie vipi uache kukaa nyumbani ili kussupport kulea familia sio unaolewa tu hujui ata utakula nini
4. Kabla hujaolewa mchunguze mtu kama kajipanga kimaisha kama bado hajajipanga yeye mwenyewe kama mwanaume usitegemee hio ndoa itakua smooth maaana yeye bado hajajisimama.
5. wanawake kuweni serious na kitu inaitwa ndoa. mshirikishe Mungu. yule dada Lisa sijamuelewa kabisa...ndugu wa familia hawakupendi bado mwanaume haleti kitu ndani bado unangangania ukaolewa nae..sasa alikuwa anategemea nini hasa? Naamini kabisa kama hawa wanawake wangemshirikisha Mungu kabla ya ndoa hao wanaume wangeondoka mapema tu wadada msichukulie kirahisi ndoa nawasihi kama mtu ni mvivu kwenye uhusiano kwenye ndoa ntakua mvivu mara 10. kama mtu ni mchovu kwenye uhusiano kwenye ndoa ntakua mvivu mara 10.
Na wanaume acheni kubeba majukumu ambayo hamuyawezi mbona mnasumbua dada za watu... huna hela ya rent unao ili iweje? huna kipato unaoa kufanya nini utamlea vipi mtoto wa watu...usiwe na haraka wewe tafuta hela muweke sawa ukipata pesa ambayo ina uhakika unaweza kula kila mwezi na rent haikupigi chenga ndo uoe.... me nshamaliza wakuu
wanawake bado hawajawa civilized

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni hivi bro upendo wa mwanamke haununuliki...kama unaona mwanamke unagharamia na bado anapepesa macho ujue kuna sehemu humkuni kisawasawa..sio formula kwamba mwanamke ukimnunulia gari au nyumba atasahau Mapungufu yako ya kitandani au maeneo mengine...kwani wewe mwanamke akiwa anajitegmea kwa kila kitu hakusumbui pesa kama ni gogo kitandani utavumilia
Unaambiwa unaweza kumpakia mkongo mke wako na bado usimlidhishe

Goite
 
Easier said than done. Kama drafti vile, ukiwa nje unaona rahisi. Ingia kati sasa!
 
Back
Top Bottom