Men only.

Nipe mamlaka inayosema kuwa neno "uboho" ni tusi.

Tatizo lake jamaa anapenda mizaha mizaha sana. Alosema uboho tusi ni nani?Kama hujui UBOHO SI TUSI, KWA KIZUNGU NO BONE MARROW (hope umeelewa mana nyie lugha zenu mnaonaga matusi) lol
 
Sawa,unauma hauumi lakini unaweza kuwa na tatizo huko.
Kawaambie wazazi wako kwamba una tatizo kwenye UBOHO uone reaction yake.........

Nimeshasema sina wazazi wenye ufahamu mdogo. Wazazi wangu wote wamesoma na wakaelimika na ni wasomi wanaoheshimika.

Na ni wao walionipa hiyo tafsiri ya bone marrow kwa Kiswahili.
 
Tatizo lake jamaa anapenda mizaha mizaha sana. Alosema uboho tusi ni nani?Kama hujui UBOHO SI TUSI, KWA KIZUNGU NO BONE MARROW (hope umeelewa mana nyie lugha zenu mnaonaga matusi) lol

Wameonyesha ujinga wa daraja la kwanza kabisa! Eti uboho ni tusi...ahahahahaaaa.....ujinga mbaya sana.
 
Nimeshasema sina wazazi wenye ufahamu mdogo. Wazazi wangu wote wamesoma na wakaelimika na ni wasomi wanaoheshimika.
Na ni wao walionipa hiyo tafsiri ya bone marrow kwa Kiswahili.

Kama una wazazi wenye upeo mkubwa na wakazaa mtoto kama wewe
basi inabidi warudi kupima either DNA au kuthibitisha kama wana upeo mkubwa
kweli isije kuwa ni wale nao waona chuoni wana hangaika na madesa kwenye umri mkubwa hivi.
 
Scofield we ni mTZ au ndo we ndo yule wa ukweli wa Prison Break?Kama we ndo boyfriend wa Sarah basi sikulaumu Ila jifunzeni kuziua lugha zanu. Kama ID hii ni tusi basi tusubiri ifunhiwe

Haueleweki kabisa ujue,..........
Jina lako lisipo badilishwa hadi kufikia juma3 naanza kuitwa KUMAR.
 
Mie nakuomba uende kwa baba na mama yako alafu ukifika uwaambie uboho unakuuma, then wakishika kichwa na kutaka kukuachia radhi, ndipo uwafafanulie kuwa ni mfupa wa mguu ndio unaouma. kama hawajakutimua.

Kwa kufanya ivyo wewe utakuwa mbwiga kabisa!Toka lini uboho ukauma?Uboho kwani unaonekana?Mbona nyie watu mnaongozwa na viungo vya uzazi? Yani kila usikiacho unakilinganisha na kiungo cha uzazi. Mmeacha kunishauri mmeanza kushambulia ID yangu. Mi ni mgeni jamani leo ndo siku yangu ya kwanza, hee, basi naogopa wajameni.
 
Kama una wazazi wenye upeo mkubwa na wakazaa mtoto kama wewe
basi inabidi warudi kupima either DNA au kuthibitisha kama wana upeo mkubwa
kweli isije kuwa ni wale nao waona chuoni wana hangaika na madesa kwenye umri mkubwa hivi.

Ili kumaliza ubishi naomba unipe tafsiri ya bone marrow kwa Kiswahili.
 
Tatizo lake jamaa anapenda mizaha mizaha sana. Alosema uboho tusi ni nani?Kama hujui UBOHO SI TUSI, KWA KIZUNGU NO BONE MARROW (hope umeelewa mana nyie lugha zenu mnaonaga matusi) lol

come again...........
 
Hoja umeshindwa umebaki kuhisi hisi tu eti nimebadili ID.

Kanunue kamusi ya Kiswahili sanifu. Kama huna hela omba utapewa.

Bwa ' Nchuchu pole kwa kusingiziwa jamani, lol!Mbona me ndo nimeingia leo?Nishaurini mwana wa mwenzenu jamani
 
Ili kumaliza ubishi naomba unipe tafsiri ya bone marrow kwa Kiswahili.

Wewe ni mgumu kuelewa na mwepesi sana kusahau.
Rejea niliyo kwambia pale juu,....naimani MODS wata suluhisha hili.

Okey,....umesema sio tusi.
Lakini katika serikali ya kichwa chako inabidi uangalie watu wengine watachukulia
vipi jina lako,...ni kama avatar tu sio kwakua mtu kafunika benki kuu na kifuani basi itoshe
kusema hayuko uchi.

Nimesema "KUMAR" ni jina la kihindi.........
Kwa kutumia mamlaka ya kichwa chako unaweza litumia jina hilo hapa?
Achilia mbali wengine huwa wanashindwa kulisoma in public.

Ukitaka kujua neno ni zuri au baya angalia kama unaweza
kulitamka mbele ya mzazi wako wa kike.................
Ukiweza baaaaasi,neno hilo limepita mtihani wa maadili mema.
 
Haueleweki kabisa ujue,..........
Jina lako lisipo badilishwa hadi kufikia juma3 naanza kuitwa KUMAR.

Mkuu inaelekea unapenda sana iyo kitu kama mimi ee!Mbona umekazana sana na Kumar? Sijaona ubaya na ID yangu, hata shule nilifundishwa kuhusu UBOHO. Je, na SHAHAMU nalo ni tusi?Mana kama uboho unaona si neno jema basi na shahamu utasema ni tusi. Loh, ivi jamani mnanipa ushauri au! Mana mnabishana vitu visivyo na msingi.
 
Nipe tafsiri ya bone marrow kwa Kiswahili

Be serious,.............acha mzaha.

430187_310482362341510_100001392453826_870910_21089424_n.jpg
 
Hebu mpeni ushauri maana hawa ndio wanaoharibu ndoto za watu, utakuta ana watoto kila mmoja ana mama yake na umri unakaribia miaka 40 alafu unafanya mambo ya vitoto vya secondary ******* sana
 
Hata neno "nyoko" mtaliona ni tusi...wakati siyo tusi.

Lugha kwa Watanzania ni janga la taifa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom