Teh zinapoteaga km upepo na hakuna taarifa yeyote
Umo humu mwezi na nusu na bado unajiita mgeni!
Kama vipi komaa, tajataja majina ya members ukianzisha thread, utakuwa maarufu haraka sana, na utaanza kuombwa contact!
Haswaa...wanafuatana tu bila kujali hata mbele yao kama kuna hatari au laah!
Hebu jaribu tu kuchunguza mwelekeo wa mijadala hasa MMU/chit chat...
Mmoja akianzisha juu ya 'mke wa mtu/infidelity' basi juma zima au hata mwezi ni mijadala ya hivyo tu.....
Au kuhusu mwanachama/wanachama fulani basi trend ni hiyo tuuu....
Tuko kinyumbu nyumbu zaidi
sio hivyo mkuu anzisha thread iliyo makini nawe uwe mchangiaji na kuquote like thiz, mi mwenyewe ndo najaribu hivi
Si afadhali hata ingekuwa tu kukutana na simba.....lolha ha ha ha
tukikutana na kundi la simba tutakoma
ila mie na mbio ntawaacha tu
Hawa jamaa sijajua wanatumiaga vigezo gani kudelete post mpya....au wanaogopa kuleta jam jukwaani? ila wanakatisha tamaakuna thread yangu kuhusu cuf wameipoteza kimya kimya imeniudhi sana!
Umo humu mwezi na nusu na bado unajiita mgeni!
Kama vipi komaa, tajataja majina ya members ukianzisha thread, utakuwa maarufu haraka sana, na utaanza kuombwa contact!