Members Jf mumeishiwa topics?

Umo humu mwezi na nusu na bado unajiita mgeni!
Kama vipi komaa, tajataja majina ya members ukianzisha thread, utakuwa maarufu haraka sana, na utaanza kuombwa contact!

sio hivyo mkuu anzisha thread iliyo makini nawe uwe mchangiaji na kuquote like thiz, mi mwenyewe ndo najaribu hivi
 
ha ha ha ha

tukikutana na kundi la simba tutakoma
ila mie na mbio ntawaacha tu

Haswaa...wanafuatana tu bila kujali hata mbele yao kama kuna hatari au laah!
Hebu jaribu tu kuchunguza mwelekeo wa mijadala hasa MMU/chit chat...
Mmoja akianzisha juu ya 'mke wa mtu/infidelity' basi juma zima au hata mwezi ni mijadala ya hivyo tu.....
Au kuhusu mwanachama/wanachama fulani basi trend ni hiyo tuuu....
Tuko kinyumbu nyumbu zaidi
 
sio hivyo mkuu anzisha thread iliyo makini nawe uwe mchangiaji na kuquote like thiz, mi mwenyewe ndo najaribu hivi

tunaomba mods wazilist hizo threads makini.kwa kuwa naona thread makini lazima ianzishwe na member aliyechangia au wa zamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom