Tabia ya kufukua makaburi siyo nzuri

HSE Officer

JF-Expert Member
Apr 10, 2023
647
841
Habar wana Jf,

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuwepo hai hadi muda huu ninaoandika hii thread

Pia napenda kutoa shukran kwa Founder wa Jf kwani naburudika na naelimika kwa nyuzi mbalimbali zinazoandikwa .

Humu JF kuna tabia ambayo sio nzuri maarufu kama kufukua makaburi , kwa nini nasema sio tabia nzuri?

Inapoteza maana ya mada husika iliyoandikwa na muandishi badala yake watu wana concentrate kwa topic zake zilizopita.

Hii inaadhari kwa muandishi wa topic husika kwan badala ya kusaidiwa kwa jambo linalomsibu muda husika watu wanahamisha wamawazo kwa mada zilizopita na hivyo kusababisha kukosa msaada .

Ombi langu kwa Jamiiforum members kuacha tabia ya kufukua makaburi kwani sio nzur hata kidogo , mwisho wa siku itapelekea watu kuhofia kuomba msaada kwa kuhofia watu watafukua makabur kwa thread alizoandika .

Nashauri Moderator wawapige ban wote wanaofukua makabur au waondoe hayo makabur kwenye nyuzi kwani zinaharibu nyuzi.
 
Back
Top Bottom