Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 176
TUSIINGILIANE, natoa ONYO!!!!
Mkuu mbona mkali ghafla?
TUSIINGILIANE, natoa ONYO!!!!
Ni kweli kuwa habari hii ni malicious. Hakuna kiongozi asiye na mapungufu, na inawezekana kuwa mapungufu ya Membe ni afadhali kuliko hao wengine.Hii habari wala haikukaa sawa zaidi ya kuzungumzia maudhi ya Mudhihir..
Yes Membe anaweza kuwa na mapungufu yake kama kiongozi...
I'm for Membe....
Hao ndio aina ya watu wanaotaka kutuongoza katika nchi hii. Tutaendelea kusema pasipo vitendo hadi kiama. Jamaa kapania kuwa Rais kwa gharama yoyote ile. Lakini tukikataa asiwe Rais nani kwa mtazamo wako unadhani anafaa kuwa Rais wetu ajaye ndani ya CCM.
Mie nina khabari kuwa mheshimiwa hana 'digrii', sasa CCM si hawaitaki hiyo kitu ya kutokuwa na angala shahada1!!! itakuwaje? au ameisha andaa ya chonga!!?
Mkuu bado hata hii haileti mantiki.. Membe akijenga kiwanda cha saruji Mtwara na Mudhihir akijenga kwao Mchinga kuna ubaya gani kuwa na viwanda viwili.. Hii ni dunai aya utandawazi ambapo soko ndilo linatawala supply kisha hakuna mipaka kwani saruji inahitajika kusini kote kwa Afrika iweje Membe amzuie mtu kujenga kiwanda cha saruji wakati sii cha serikali.Jamani,Membe na mudhihir wote wanajuana..hapa kuna issue moja tu...Kiwanda cement.Membe ana watu wake wanataka kujenga Mtwara mjini hicho kiwanda...Mudhihir nae ana watu wake (TioT)wanataka wajenge Mchinga,ila malighafi iko mchinga.....sasa hapo wanatakiwa kwenda na hoja zao kwenye kamati ya mkoa...sio bungeni.......ila mwaka ujao MM hana lake...ubunge anataka labda atokee hapo....kwenye kiwanda
Lakini ni kwa ajili ya zile big,big,fat bags wanazopitisha airports. Umeyaona mabego yao hawa diplomats? It is xxxxx unbelievalable,yale mabegi yalivyokuwa makubwa.
Mjadala ni Membe kuwania Urais 2015 hayo mengine ni yako,Hivi Freeman alimaliza ile degree yake au ndio bado yuko kwenye kifungo cha plaigarism
Mkandara,
..Membe anataka kumzidi mahesabu mwenzake kwa kulazimisha kiwanda kijengwe jimboni kwake -- Mtama.
unaendelea.
mgonjwaUkimwi said:Joka Kuu, huu Uongo 100%. Kiwanda kitarajiwa kujengwa Lindi mjini, Lindi mjini sio jimbo la Membe wala la Mdhihiri. Na ni Membe aliyefanikisha ujenzi huu.