Membe kuwania urais 2015...

Babu yangu alishawahi kuniambia kua kitu ukikifikiria sana mwishowe utakiota.

Sina uhakika kwa mara ambazo huyu bwana ameufikiria urais hajaota bado!!
 
I'm for Membe....

Bwana Mkandara, 2015 bado iko mbali na tunalohitaji sasa ni maendeleo ya nchi yetu. Kampeni ya chaguo lako ngoja uifanye muda ukifika, kama wewe na chaguo lako bado Mwenyezi Mungu atawapa pumzi za kuwa hai hadi hapo. Sote tunapita na Tanzania tutaiwache; hivyo acheni nongwanongwa mchape kazi. Pia acheni udini!
 
Babu yangu alishawahi kuniambia kua kitu ukikifikiria sana mwishowe utakiota.

Sina uhakika kwa mara ambazo huyu bwana ameufikiria urais hajaota bado!!

Kwahiyo unataka kutuambia unajuwa ni MARA ngapi huyu bwana amekuwa akiufikiria urais? Kama ndivyo, umejuaje na kwanini husitoe idadi ya MARA alizofikiria kuwa rais? Kama kwa miujiza ya mungu unauwezo wakujuwa anachoofikiria mtu imekuaje unashindwa kujuwa kama ameota au lah? Nashindwa kuelewa ulichotaka kusema.
 
Jamani hajaoteshwa bado, alishasema akiota hiyo ndoto ndio atatia timu kwenye urais 2015, msilazimishe ndoto au kuota kwa niaba yake.
 
Membe kujitokeza kusema kuwa anataka urais hakuna noma, Mimi naona ni vizuri sana kwake kusema na kuweka wazi mipango yake na sisi kama Watanzania watamjua na kusema kuwa anafaa au hafai. Hivyo kuwa mkatoriki siyo sababu kwake na Kwa Watanzania.

Mizimu ya kaburi hili inatisha
 
Mwandishi anamaanisha ili mgombea urais afanikiwe lazima awe mkatoliki,je sisi wa KKKT na madhehebu mengine tutaishia katika Upinda tuu?Naomba atuweke wazi ili tusihangaike kuwatafutia nafasi akina Lyatonga,malachela na wengine!
Huoni?
 
Membe, anajidanganya kutumia historia ya Jakaya kwenye maisha yake. Hapa duniani kila mtu ana historia yake peke yake. Mfano: Jinsi walivyoingia Ikulu watu kama Julius (RIP), Ali, Benjamin na Jakaya - ni tofauti kabisa.
Hakika
 
Lakini Membe hawezi kugumbea Urais,kwa sababu ana uhusiano na Kikwete,uhusiano wa aina fulani,shemeji or something.
Inashangaza kuona kwamba Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania sasa anakuwa Crown Prince.Lakini ni kwa ajili ya zile big,big,fat bags wanazopitisha airports. Umeyaona mabego yao hawa diplomats? It is xxxxx unbelievalable,yale mabegi yalivyokuwa makubwa.

Nadhani kwa sasa tuna crown prince mpya aitwaye Bashite, anapitisha big, big, fat "makasha" na big, big, fat "other things".
Either way Andrew uliona mbali
 
Unaweza kuniambia status ya Tanzania kwenye ulingo wa kimataifa ukoje tangu huyu bwana ashike usukani? Unakumbuka 'lying low' ya Libya? Juzi walibya walikuwa wanakunywa juice magogoni, uso wake uliangalia upande gani? Na porojo zake kuwa kuna nchi za magharibi zinafadhili machafuko- aliishia kwa kuwekwa kitako.

Huko tuendako ni vizuri kuwa na waziri wa foreign affairs anayetaka kutumikia nchi zaidi kuliki kujijenga yeye kama rais mtarajiwa. Huyu bwana anatumia muda mwingi kujitangaza yeye kama yeye na sio nchi.
Duh jamaa uliona mbali
 
Back
Top Bottom