Membe awavaa wanasiasa wanaojisafisha masikitini, mkanisani

Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema toleo la leo Membe amewataka viongozi wa dini kuwa macho na wanasiasa wanaokimbilia makanisani kujisafisha, ujumbe huo aliutoa katika hafla fupi ya kuliombea taifa huko Mtwara

My take: Alikuwa wapi wakati Maaskofu wanasema Jk ni chaguo la Mungu!
 
wakati anaongea hayo alikuwa anaongea na viongozi wa dini.kwa hiyo huo ni upande wa pili wa shilingi.
 
Hata huo uwaziri wa mambo ya nje anapwaya sana... eti anasaka urais!! kweli Tz ni nchi ya kushangaza.
 
wakati anaongea hayo alikuwa anaongea na viongozi wa dini.kwa hiyo huo ni upande wa pili wa shilingi.

Membe anazungumzia wanaojisafisha kupitia makanisa.
Hujaona tofauti ya Membe na Lowassa hapo?
OTIS
 
Back
Top Bottom