Kwanini viongozi wa dini wamejikita kushirikiana na viongozi wa chama tawala pekee? Mungu alikataza kushirikiana na wapinzani?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
888
4,136
Viongozi wa dini dua na sala zao zimeambatana zaidi na wana chama tawala. Na hata hao chama tawala siyo wote isipokuwa wale tu wenye madaraka. Ukishirikiana nao kisha ukapokonywa madaraka na wao wanakuacha na kuambatana na mteule mpya.

Maeneo mengi viongozi wa dini wanapokwekwenda kutoa huduma ya kiroho kwa wanasiasa lazima waitwe, hakuna siku wao kama wao wanathubutu kumkemea mwanasiasa.

Hakuna kongamano la dini lakukemea maadili linalowagusa wanasiasa moja kwa moja, kwao wanasiasa wasawi na wachafu wanaitwa watoto wa kaisari na wanaachwa wale ya kaisari.

Wapinzani wakianzisha vuguvugu la kudai haki viongozi wa dini lazima wabadili mahubiri na kuanza kutafsiri kama kuna uvunjifu wa amani mara tuheshimu viongozi waliowekwa na Mungu. Je Mungu alibariki binadamu waovu waachwe?

Shida ya viongozi wa dini nikukosa roho wa Mungu na kujawa na roho ya ajira na kutafuta mali au kupungukiwa maarifa ya elimu Dunia? Ni kawaida kabisa kukosekana kwa amani kwa kutotenda haki, wao panapokosekana haki badala wakosoe ubaki kusema Tuombee Amani. Je, ni wapi ambapo haki ilikosekana maombi yakaleta upatanisho? Kwanini wasioamini amani ni tunda la haki?
 
Maeneo mengi viongozi wa dini wanapokwekwenda kutoa huduma ya kiroho kwa wanasiasa lazima waitwe ,hakuna siku wao kama wao wanathubutu kumkemea mwanasiasa.

Hakuna kongamano la dini lakukemea maadili linalowagusa wanasiasa moja kwa moja, kwao wanasiasa wasawi na wachafu wanaitwa watoto wa kaisari na wanaachwa wale ya kaisari.

Wapinzani wakianzisha vuguvugu la kudai haki viongozi wa dini lazima wabadili mahubiri na kuanza kutafsiri kama kuna uvunjifu wa amani mara tuheshimu viongozi waliowekwa na Mungu. Je Mungu alibariki binadamu waovu waachwe?

Shida ya viongozi wa dini nikukosa roho wa Mungu na kujawa na roho ya ajira na kutafuta mali au kupungukiwa maarifa ya elimu Dunia? Ni kawaida kabisa kukosekana kwa amani kwa kutotenda haki, wao panapokosekana haki badala wakosoe ubaki kusema Tuombee Amani. Je ni wapi ambapo haki ilikosekana maombi yakaleta upatanisho? Kwanini wasioamini amani ni tunda la haki?
Ni muhimu kuwaombea viongozi wetu wote. Wenye nafasi serikalini na nje serikalini.
Nikimaanisha tuwaombe viongozi wa kisiasa na wasio wakisiasa.

Tuiombee Nchi Yetu Amani, Upendo na Utangamano miongoni mwa wananchi..

Mungu ni wetu sote.
Hana upendeleo, tumtumainie yeye, tumtegemee yeye na daima tumuelekee yeye kila wakati...
 
Ni muhimu kuwaombea watu wote, wananchi na viongozi wao, masikini na matajiri.
Mungu hana upendeleo wa moja kwa moja.
 
Viongozi wa dini dua na sala zao zimeambatana zaidi na wana chama tawala. Na hata hao chama tawala siyo wote isipokuwa wale tu wenye madaraka. Ukishirikiana nao kisha ukapokonywa madaraka na wao wanakuacha na kuambatana na mteule mpya.

Maeneo mengi viongozi wa dini wanapokwekwenda kutoa huduma ya kiroho kwa wanasiasa lazima waitwe, hakuna siku wao kama wao wanathubutu kumkemea mwanasiasa.

Hakuna kongamano la dini lakukemea maadili linalowagusa wanasiasa moja kwa moja, kwao wanasiasa wasawi na wachafu wanaitwa watoto wa kaisari na wanaachwa wale ya kaisari.

Wapinzani wakianzisha vuguvugu la kudai haki viongozi wa dini lazima wabadili mahubiri na kuanza kutafsiri kama kuna uvunjifu wa amani mara tuheshimu viongozi waliowekwa na Mungu. Je Mungu alibariki binadamu waovu waachwe?

Shida ya viongozi wa dini nikukosa roho wa Mungu na kujawa na roho ya ajira na kutafuta mali au kupungukiwa maarifa ya elimu Dunia? Ni kawaida kabisa kukosekana kwa amani kwa kutotenda haki, wao panapokosekana haki badala wakosoe ubaki kusema Tuombee Amani. Je, ni wapi ambapo haki ilikosekana maombi yakaleta upatanisho? Kwanini wasioamini amani ni tunda la haki?
nani alikudanganya kuna viongozi wa dini? wale wote ni wachumia tumbo hakuna dini paple ndo maana wanamwobea mpaka jambazi mwizi muuaji n.k mungu yuko mbali sana
 
Wewe umejuaje. Tell us about yourself. Aliyekwambia wema Tu ndo wanaombewa ni nani? Je kumwombea mtu Ni hitimisho? Ni kuomba. Ni Ombi. Hata wewe unampaga hela mwanao. Mkeo au nk. Na kunwonbea safari njema. Maombi yako yamejikita katika uwezo na upeo wako. Mkeo au mwanao akiamua Badala ya kwenda mlikokubaliana na ndo mwelekeo wa sala na maombi yako. Au tuite matashi mema yako, haijafanya matashi yako kuwa fake. You have done your best. Ila yeye kiumbe huru naye kaamua kufanya his or her best kadiri ya yeye.

Mkuu upeo wako ulipoishia ndo mwanzo wa mwenzako.
 
Ni muhimu kuwaombea viongozi wetu wote. Wenye nafasi serikalini na nje serikalini.
Nikimaanisha tuwaombe viongozi wa kisiasa na wasio wakisiasa.

Tuiombee Nchi Yetu Amani, Upendo na Utangamano miongoni mwa wananchi..

Mungu ni wetu sote.
Hana upendeleo, tumtumainie yeye, tumtegemee yeye na daima tumuelekee yeye kila wakati...
Kuombea majizi ni kosa, hata kama wanaweza kukupoteza duniani, kuharibu shughuli zako za kujiingizia kipato, kukubambikia kesi ama kukupa rushwa. Mtu mjinga tu ndio ataweza kuombea watu wanaopata madaraka kwa kunajisi uchaguzi.
 
Viongozi wa dini dua na sala zao zimeambatana zaidi na wana chama tawala. Na hata hao chama tawala siyo wote isipokuwa wale tu wenye madaraka. Ukishirikiana nao kisha ukapokonywa madaraka na wao wanakuacha na kuambatana na mteule mpya.

Maeneo mengi viongozi wa dini wanapokwekwenda kutoa huduma ya kiroho kwa wanasiasa lazima waitwe, hakuna siku wao kama wao wanathubutu kumkemea mwanasiasa.

Hakuna kongamano la dini lakukemea maadili linalowagusa wanasiasa moja kwa moja, kwao wanasiasa wasawi na wachafu wanaitwa watoto wa kaisari na wanaachwa wale ya kaisari.

Wapinzani wakianzisha vuguvugu la kudai haki viongozi wa dini lazima wabadili mahubiri na kuanza kutafsiri kama kuna uvunjifu wa amani mara tuheshimu viongozi waliowekwa na Mungu. Je Mungu alibariki binadamu waovu waachwe?

Shida ya viongozi wa dini nikukosa roho wa Mungu na kujawa na roho ya ajira na kutafuta mali au kupungukiwa maarifa ya elimu Dunia? Ni kawaida kabisa kukosekana kwa amani kwa kutotenda haki, wao panapokosekana haki badala wakosoe ubaki kusema Tuombee Amani. Je, ni wapi ambapo haki ilikosekana maombi yakaleta upatanisho? Kwanini wasioamini amani ni tunda la haki?
Hiv karbun nlisoma ktu "Umoja wa Manabii na Mitume" walpokua wakijadili Bandari! Nikashangaa kuwepo kw kitu "umoja" kwani ktk bblia hilo neno halipo. Kila 1 alitumwa kpeleka ujumbe kw mfalme(Rais), chanya/hasi kivyake. Sjaskia hawa wa kwetu wamefikisha ujumbe walotumwa hata 1. Lao kuu ni hilo "tiini mamlaka"... na kkusanya zaka na mafungu ya 10
 
Kuombea majizi ni kosa, hata kama wanaweza kukupoteza duniani, kuharibu shughuli zako za kujiingizia kipato, kukubambikia kesi ama kukupa rushwa. Mtu mjinga tu ndio ataweza kuombea watu wanaopata madaraka kwa kunajisi uchaguzi.
Waombee wezi, waharibifu, wanyang'anyi, wauaji mwili n.k. Mungu aweze kuwagusa, kuwaosha na kuwatakasa maovu yao kabisa ili hatimae wawe watu wema.

Vilevile waembee neema na Baraka za Mungu watenda mema waendelee kuchapa kazi kwa bidii na kazi zao njema zikawe furaha, amani na maendeleo kwa wanadamu wote.

Sisi sote ni waja wake, na kwa wakati wake tutarejea kwake.

Na maombi katika hali ya utoto na ujinga ni faida....
Binafsi nakuombae kwa Mungu siku zote, ahuishe na kulainisha nafsi yako ngumu, kukubali na kuamini vitu fulani huna na huna uwezo navyo pekeyako, bali ni kwa uweza na nguvu za Mungu...
Mungu akubariki sana..
 
Amen chawa.
 
Nilishangaa kwenye uchaguzi wa 2020, Viongozi wa dini kila siku kwenye TV wakituasa tutunze amani. Nikajiuliza mbona amani ipo. Kumbe walikuwa wanajua mchezo utakaochezwa.
 
Viongozi wa dini dua na sala zao zimeambatana zaidi na wana chama tawala. Na hata hao chama tawala siyo wote isipokuwa wale tu wenye madaraka. Ukishirikiana nao kisha ukapokonywa madaraka na wao wanakuacha na kuambatana na mteule mpya.

Maeneo mengi viongozi wa dini wanapokwekwenda kutoa huduma ya kiroho kwa wanasiasa lazima waitwe, hakuna siku wao kama wao wanathubutu kumkemea mwanasiasa.

Hakuna kongamano la dini lakukemea maadili linalowagusa wanasiasa moja kwa moja, kwao wanasiasa wasawi na wachafu wanaitwa watoto wa kaisari na wanaachwa wale ya kaisari.

Wapinzani wakianzisha vuguvugu la kudai haki viongozi wa dini lazima wabadili mahubiri na kuanza kutafsiri kama kuna uvunjifu wa amani mara tuheshimu viongozi waliowekwa na Mungu. Je Mungu alibariki binadamu waovu waachwe?

Shida ya viongozi wa dini nikukosa roho wa Mungu na kujawa na roho ya ajira na kutafuta mali au kupungukiwa maarifa ya elimu Dunia? Ni kawaida kabisa kukosekana kwa amani kwa kutotenda haki, wao panapokosekana haki badala wakosoe ubaki kusema Tuombee Amani. Je, ni wapi ambapo haki ilikosekana maombi yakaleta upatanisho? Kwanini wasioamini amani ni tunda la haki?
Ndio ujue Waswahili walisemaga kidole kimoja hakivunji chawa !!!
Mashirikiano ni muhimu !!😅😅🙏🙏🙏
 
Kuna msemo kwamba "nyoka huuma afikiapo". Inawezekana hao ni wale kwa ndani wana kadi ya kijani na kwa nje wanaonekana kama viongozi wa dini wasio na upande. Kwa maoni yangu, viongozi wa dini wanapaswa kuwa neutral - mazuri wanayoyaona katika vyama vyote, hata serikalini, wayataje ili yaendelezwe na mabaya wanayoyaona katika vyama na hata serikalini wayataje pia ili yaachwe. Kuegemea upande mmoja hakuonyeshi utufuku wa Mungu kwa sababu viongozi wa dini ni walezi wa wafuasi wa vyama vyote.
 
Back
Top Bottom