Nokia wameamua kuungana na M$, high end smartphone za Nokia now zitakuwa zinatumia OS ya M$ WP7!! Great move!
ooops! One step backward on users side if you know windoze monopoly policies! So all smart phnes will be windozed? Source please :msela:
Kang kama aliyosema Yeshua
Windows7 phone performance yake kwenye mobile sio nzuri. Its far much better symbian . Hata ukisoma reviews mbali mabli za windows 7. . kama ni kweli Nokia wanai damp Symbiana watakuwa wanafanya kosa kubwa. Symbiana ndio Icon ya Nokia sasa wanazidi kwenda kushoto.
- Wanasema Some model touch screen ya window 7 iko sticky na nzito. Hii hata mm nina experince
- Na wanasema OS wa window 7 haikuwa desinged kwa ajili ya mobile hiyo WP7 wamelazmisha tu sababu ya ndio teknolojia inapoelekea so wakaamua fasta kuleta kitu cha mobile.
- The same hata simu zenye windows mobile ni nzito sana. Nimetumia simu kila baada ya muda mchache ilikuwa inabidi nifanye soft restart
Hope Nokia wataendelea na symbiankwa muda tu. Hawawez ikuingia mkenge wa kudump OS ambayo wana 100% control nayo waende kwenye OS ya third party amabyo hawana exclusive right
here's a little tip...nokia wamejiunga na intel kupika OS inayoitwa MeeGo badala ya Maemo ambayo inaoperate kwnye Communicator za Nokia mfn N900...Na habar ni kwamba MeeGo itaweza kua launched na Nokia N9...na ukiangalia symbian..bdo haijafa cuz OS mpya ya symbian ambayo ni Symbian^3 ndo kwnza imelaunch na Nokia N8 na inaendelea kwnye C series na E series device za Nokia...
Man, Steve Ballmer need you as M$ PR!Leo Nokia wametangaza kuwa Meego is no more, simu za smartphone ni Windows Phone 7 from now on. Symbian refer to the chart above, wanai phase out slowly.