Rasmi: AZAM TV watambulisha visimbuzi maalumu vya kwenye mabasi ya mikoani na magari ya safari ndefu

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,861
Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani. Kupitia kurasa zao leo wametangaza rasmi kutoa huduma hiyo.

========

Azam TV Revolutionizes Travel Entertainment with In-Car Decoders

Enhancing Travel Experiences with Azam TV's Innovative In-Car Entertainment Solution.
In a groundbreaking move, Azam TV has launched in-car decoders catering to long-distance journeys and passenger buses. The announcement, shared on their social media platforms, exclaims:

"Great news for Tanzanians and Azam TV enthusiasts! We're thrilled to introduce our exclusive travel service, Bab’Kubwa ya Safiri na Azam TV."

Azam TV Launches Bab’Kubwa ya Safiri na Azam TV, Offering Seamless Live Broadcasts for Commuters on Long-Distance Journeys and Intercity Buses.
This service empowers Azam TV lovers to enjoy live broadcasts seamlessly while on the move.

Currently available on intercity buses, this service comes at a reasonable cost:

The installation and setup of Azam TV on your transport vehicle amount to TZS 3,480,000 (including equipment and installation). The package fee for the initial six months is TZS 480,000, with subsequent payments scheduled every six months.

It's essential to note that these costs encompass the promotion of your bus journeys on Azam TV for a full month.

Source: Inside Tanzania

1703910864572.jpeg
 
Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani


Soma hapa
Azam wana programme za kutengeneza visimbusi kama vile ni sifa kwao. Means wanauza visimbusi vibovu ili waje kutengeneza baada ya muda mfupi?
 
Ndo wajua Leo mbona huduma inamiezi kazaa
Leo ndio wametambulisha rasmi kupitia page za mitandao yao... Nenda kwenye page ya Azam TV ya Instagram tafuta hiyo post ya leo wakitambulisha hiyo huduma na gharama zake

Hiyo ya kwanza ilikuwa ni kama utafiti, lazima wafanye pre-testing kwenye baadhi ya magari...
 
Leo ndio wametambulisha rasmi kupitia page za mitandao yao... Nenda kwenye page ya Azam TV ya Instagram tafuta hiyo post ya leo wakitambulisha hiyo huduma na gharama zake

Hiyo ya kwanza ilikuwa ni kama utafiti, lazima wafanye pre-testing kwenye baadhi ya magari...
Kwahiyo Simba na Yanga watakuwa wanacheza kila siku?
 
Back
Top Bottom