HUAWEI YARUDI KWA KISHINDO, JARIDA MAARUFU LA BLOOMBERG LA MAREKANI LAKIRI

Xi Jinping

JF-Expert Member
Jun 14, 2023
525
1,816
Jarida maarufu nchini Marekani la Bloomberg, limeripoti kuwa mauzo ya simu za Huawei hasa toleo la Mate 60 yamepanda kwa asilimia 27 mwaka huu wa 2023

Likinukukiwa jarida hilo liliandika: Huawei's smartphone comeback is set to intensify competition

Ikumbukwe Huawei Mate 60 ilizinduliwa mwezi August mwaka 2023, baaada ya kuwekewa vikwazo na Marekani vya kuuziwa chips na kutotumia OS ya Android.

Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa ambao Huawei imeishangaza dunia ambapo walikuja na chips zao na kutengeneza Huawei Mate 60, inayotumia OS iliyotengenezwa na Huawei wenyewe ya Harmony OS badala ya android.

Jarida la Bloomberg liliendelea kusema: If 2023 is the year of breakthourgh for Huawei, 2024 will be the year of harvest. Huawei's revenues is expected to achieve significant growth in 3 directions in 2024

Watafiti wamezunguzumzia mambo matatu ambayo yatazidi kuiimarisha Huawei mwaka 2024

1. Inakadiriwa Huawei itauza units zaidi ya milioni 70 za simu, ambalo ni ongezeko la asilimia 80 ukilinganisha na mwaka huu.

2. Kwa kuwa kampuni ya NVIDIA ya Marekani ilijitoa soko la China kwenye kuuza chip za AI (Artificial Intelligence) ambapo ilikuwa inaingiza 7 billion US dollars, sasa Huawei itachukua nafasi hiyo kwani wameanza kutengeneza chip za AI.

Huawei is among a field of “very formidable” competitors to Nvidia in the race to produce the best AI chips, the US company’s CEO says

3. Huawei ina kitengo cha Huawei's AI driving system ambacho kimeingia mkataba na kampuni nyingi kubwa za China ambazo zinatengeneza magari ya umeme. Ikumbukwe kwa sasa China ndiye exporter mkubwa duniani wa magari ya umeme. Kwa hiyo Huawei anaingiza pato kwenye kila unit ya gari ya umeme inayouzwa kutoka China. Na mauzo ya magari ya umeme yenye teknolojia ya Huawei inapaa kwa kasi imeonekana ni safer na superior kuliko ya Tesla.

CEO wa Huawei Ren Zhengfei mwaka 2019 baada tu ya Marekani kuiwekea vikwazo Huawei alinukuliwa akisema:

Ren Zhengfei:“When I heard that the U.S. had put us on the entity list, I wasn’t very surprised because we were mentally prepared…but I did not believe it will endanger our survival.”

Ren Zhengfei:If you don't sell your product to a company, you are actually forcing it to make a similar product one day, and you will not be able to sell your product any longer.”

Ren Zhengfei:“We need to change our employees’ mindset, as we are not in peace time anymore. We are now more united and aligned than before, thanks to these external pressures.”

Ren Zhengfei:“Within two years, Huawei, our “broken plane” will be completely repaired. In three years, you will see a new plane. It would probably have more advanced engines to fly faster. I think the whole restructuring within the organization should be completed within three to five years.”

Ren Zhengfei:“We want to delegate the decision-making power to our experts. The last thing we want is to have bureaucrats or managers lead our way in technology. So we’ve decided that our managers should do administrative affairs, and leave technology-related decisions to experts.”

Miaka 3 baadaye maneneo yake yametimia.

Viva China ✌️
 
Huawei haikukatazwa kutumia chip za Mmarekani wala Android OS. Mbona Huawei za Ulaya zimekuwa zikitumia Android? Halafu chipset mbona Huawei P60 Pro unatumia Qualcomm Snapdragon 8+ Gen 1? Au Snapdragon nayo ni ya Mchina?
Msitake kukuza vikwazo ambavyo Huawei amewekewa ili kufanya ionekane walionewa sana
In fact Huawei Mate 60 Pro kwenye performance, hiyo Kirin 9000S inapitwa hata Google Tensor G2 ambayo imetumika kwenye Google Pixel 7 Series, achilia mbali Google Tensor G3 na kumbuka Google hajabase sana kwenye kutengeneza simu kama Huawei but still chipset zake zina nguvu kuliko za Huawei

Halafu hiyo Mate 60 Pro inatumia HarmonyOS kwa China tu. Kuna uwezekano wakiiachia globally, ya Global itatumia Android kama tu alivyokuwa anafanya kwenye P60 series

Mchina anakuja vizuri ila bado.
USA imeendelea sana kiteknolojia, tena sana.
Watu wanapenda kuilinganisha China na USA kwenye Tech kwa sababu tu China iko vizuri kwenye tech kuliko nchi zilizobaki ulimwenguni, ukitoa USA.
Kinyume na hapo Marekani IPO juu sana.
 
Back
Top Bottom