Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia.

Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink.

Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo 1T kabla mwezi haujaisha unapunguziwa speed ila bado utaendelea kupata huduma.

Tanzania kwa sasa Laki moja Vodacom wanakupatia GB 48. Kwa sasa 1T ya Vodacom ni shilingi milioni 2.2 huku ukipata kasi ya kobe.

Watanzania kwenye digitali tunaachwa nyuma sana na nchi zingine.

======
  • SpaceX has launched its Starlink satellite internet service in Zambia, making it the sixth country in Africa to receive the high-speed, uncapped service.
  • Starlink is particularly well-suited for rural and underserved areas where traditional internet infrastructure is often lacking.
  • The launch of Starlink in Zambia could bridge the digital divide and provide millions of Zambians with access to high-speed internet for the first time.
SpaceX has officially launched its Starlink satellite internet service in Zambia, making it the sixth country in Africa to receive the high-speed, uncapped service.
Residents can now place orders for their Starlink kits directly on the company's website.

Starlink uses a constellation of thousands of satellites in low Earth orbit to provide internet access to users around the world. The service is particularly well-suited for rural and underserved areas, where traditional internet infrastructure is often lacking.

Starlink is available in Zambia in limited areas, but the company plans to expand its coverage over the coming months. The service is priced at ZMW771 ($37) per month, with a one-time hardware cost of ZMW10,744 ($505).

Users who wish to use the Starlink service in other African countries will have to pay ZMW1,000 ($47) per month for regional roaming. Those who want to take their Starlink kit and use it on another continent must pay ZMW3,950 ($186).

In addition to the standard Starlink dish, SpaceX also offers a Flat High-Performance dish that is geared towards professional and business users with more demanding broadband requirements. The Flat High Performance dish is priced at ZMW50,133 ($2,355).

The launch of Starlink in Zambia is a significant development for the country's internet infrastructure. According to the World Bank, only 44% of Zambians have access to the internet and those who do often face high costs and slow speeds.

Starlink could help bridge the digital divide and provide millions of Zambians with high-speed internet for the first time.

In addition to the benefits for consumers, Starlink could also have a positive impact on Zambia's economy as the service could attract new businesses and investment to the country, and create jobs in the telecommunications sector.
The launch of Starlink in Zambia is part of a broader trend of SpaceX expanding its satellite internet service across Africa. In 2023, Starlink launched in Nigeria, Kenya, Mozambique, Rwanda, and Malawi. It is also scheduled to go live in Angola and Eswatini before the end of the year.

FOLLOW BUSINESS INSIDER AFRICA​


Our newsletter gives you access to a curated selection of the most important stories daily.

Thanks for signing up for our daily insight on the African economy. We bring you daily editor picks from the best Business Insider news content so you can stay updated on the latest topics and conversations on the African market, leaders, careers and lifestyle. Also join us across all of our other channels - we love to be connected!

Unblock notifications in browser settings.
 
Mtu anatoa hoja za hovyo eti Starlink wafungue ofisi Tanzania, unajiuliza ofisi za Google, Facebook, Instagram, Twitter, TikTok, LinkedIn na mitandao mingine ziko Tanzania?

Hovyo kabisa.

In other word starlink anakuja kutishia soko la local ISP. Na hawa local ISP wana benefit wanasiasa, some ni wamiliki, wengine wana hisa. Ni mtandao mkubwa.

So anything that threats maslahi yao kitawekewa pingamizi
 
Hili linakuhusu Nape Nnauye kwa nini mnawawekea urasimu staring!? Kuwekeza katika sekta ya internet!?

Nahisi kuna harufu ya rushwa kubwa sana kwenye hili swala... kwa watoa Huduma&wizara yenye dhamana...

Maana hawa jamaa endapo wakitia maguu... huo ndio utakuwa mwisho wa huu wizi wa kimacho macho wa bando.

Urasimu wa nini? Dunia inaenda kasi sana kiteknolojia?

Napata wazo kuwa tunakoelekea kwa umakini wa huyu jamaa(Elon Musk).

Iko siku tutaweza kuaccess hii Satellite yake bila ya nchi kuhusishwa! (kwa special satellite chipsets) muda utaongea
 
Kama rais mwenyewe anakiri kabisa kuwa watendaji wake wanabiashara zao zenye mgongano wa kimaslahi na baadhi ya mashirika ya umma bado unashangaa kwanini bwana elon aliwekewa zengwe? Watu wanajali na kulinda maslahi yao mkuu nyie wananchi mtajijua wenyewe.

Nchi ya hovyo sana hii.
 
Starlink internet yenye kasi sasa imekuwa approved rasmi na serikali ya Zambia. Huku kwetu....!?
 

Attachments

  • Screenshot_2023-10-09-21-59-00-698_com.twitter.android.jpg
    Screenshot_2023-10-09-21-59-00-698_com.twitter.android.jpg
    50.1 KB · Views: 2
Watanzania wengi hawawezi afford lipia starlink.
Starlink ukifika 1TB inazingua, maana yake kwa siku usizidishe GB 30
Kifurushi ni shilingi 120,000, wapo wanaoweza kumudu !! nasema haya maana kuna watu kibao wanatumia gb 2 kila siku, mwezi ukiisha 150,000 imekata. kupunguza makali wengi wamekimbilia supakasi ya voda wanalipia 115,000 bila kusita.

Internet ya starlink ina speed kali sana takribani 100 Mbps kwa 120,000 tu, kwa voda hii speed inakubidi ulipie laki 4 huko ndio utaipata kwa uhakika (achana na ile ya 250k kuna muda inashuka maana speed ni "up to") na lazima uwe sehemu yenye 5g hasa Dar.

Internet ya Starlink inatumia satelite kama vingamuzi vya azam, inapatikana mpaka maporini, mabondeni, mbugani, vijijini, n.k.

Think out of the box, kuna vijiji vingi nework ni shida sana, kulipia 120,000 kwa mwezi tena mnaitumia wengi ni maendeleo makubwa katika urahisishaji wa kusambaza teknolojia ya internet.
 
Back
Top Bottom