johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,524
- 142,799
Mchungaji Lusekelo aka Mzee wa Upako amesema Wachagga ni Watu wanaostahili kuheshimiwa kwenye Siasa za Tanzania kwani wamepata Maendeleo kitambo sana
Mchungaji Lusekelo amesema Kilimanjaro ndio Israel ya Africa, walikuwa ni Taifa na walipewa uhuru na Ujerumani na kupandisha Bendera yao kabla Tanganyika haijapata Uhuru
Ashukuriwe Mwalimu Nyerere kwa kuwaunganisha Wachagga na Tanganyika na kuwa Taifa Moja kwani Wachagga ni Chachu ya Maendeleo, amesisitiza Mchungaji Lusekelo
Source: Mzee wa Upako TV
Mlale Unono 😀😀