Mchungaji Lusekelo: Wachagga walipata Uhuru kutoka kwa Ujerumani kabla ya Tanganyika na Walikuwa na Bendera yao!

Kasome historia ya wadigo kuitwa wavivu , wadigo walipinga hayo mazao kabisa na mengine ... Wakoloni wakaenda kuanzisha uchagani na kwa wahaya.

..hilo ni suala la Wadigo na mazingira yao.

..wako Wapare walitaka kulima kahawa mkoloni akawakatalia.
 
Hapakuwa na strong resistance huko ,huo ndio ukweli hata umaarufu labda kwa kutengeneza pombe za kienyeji...
 
Mchungaji Lusekelo aka Mzee wa Upako amesema Wachagga ni Watu wanaostahili kuheshimiwa kwenye Siasa za Tanzania kwani wamepata Maendeleo kitambo sana

Mchungaji Lusekelo amesema Kilimanjaro ndio Israel ya Africa, walikuwa ni Taifa na walipewa uhuru na Ujerumani na kupandisha Bendera yao kabla Tanganyika haijapata Uhuru

Ashukuriwe Mwalimu Nyerere kwa kuwaunganisha Wachagga na Tanganyika na kuwa Taifa Moja kwani Wachagga ni Chachu ya Maendeleo, amesisitiza Mchungaji Lusekelo

Source: Mzee wa Upako TV

Mlale Unono 😀😀
huyu amechanganyikiwa
 
20240116_163530.jpg
 
Back
Top Bottom