Mchungaji Lusekelo: Wachagga walipata Uhuru kutoka kwa Ujerumani kabla ya Tanganyika na Walikuwa na Bendera yao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Mchungaji Lusekelo aka Mzee wa Upako amesema Wachagga ni Watu wanaostahili kuheshimiwa kwenye Siasa za Tanzania kwani wamepata Maendeleo kitambo sana

Mchungaji Lusekelo amesema Kilimanjaro ndio Israel ya Africa, walikuwa ni Taifa na walipewa uhuru na Ujerumani na kupandisha Bendera yao kabla Tanganyika haijapata Uhuru

Ashukuriwe Mwalimu Nyerere kwa kuwaunganisha Wachagga na Tanganyika na kuwa Taifa Moja kwani Wachagga ni Chachu ya Maendeleo, amesisitiza Mchungaji Lusekelo

Source: Mzee wa Upako TV

Mlale Unono 😀😀
 
Wajerumani au Waingereza?
Lusekelo Haijui historia kabisa.

Kilaza wa mwisho
 
Hizi habar za kishenzi za kutukuza baadhi ya makabila fulan inchi ife hiyo tabia sio nzuri, ndio hayo wanazalisha siasa za ubaguzi kama kenya&rwanda.

Hao wachaga wamefanya lipi nchini ambalo makabila mengine hayajafanya? Hizi takataka zinazotoa habari kwa mihemko zizibitiwe kuokoa uvunjaji wa muungano wa raia nchini
 
Kwa kuongezea tu.

Bendera ya Chagga State ndiyo bendera ya sasa ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi.

Ina chui, isale, mgomba, mlima Kilimanjaro na mkahawa
thumb_122_102x110_0_0_crop.png
 
Mchungaji Lusekelo aka Mzee wa Upako amesema Wachagga ni Watu wanaostahili kuheshimiwa kwenye Siasa za Tanzania kwani wamepata Maendeleo kitambo sana

Mchungaji Lusekelo amesema Kilimanjaro ndio Israel ya Africa, walikuwa ni Taifa na walipewa uhuru na Ujerumani na kupandisha Bendera yao kabla Tanganyika haijapata Uhuru

Ashukuriwe Mwalimu Nyerere kwa kuwaunganisha Wachagga na Tanganyika na kuwa Taifa Moja kwani Wachagga ni Chachu ya Maendeleo, amesisitiza Mchungaji Lusekelo

Source: Mzee wa Upako TV

Mlale Unono 😀😀
Na wale wasukuma ambao hawakutawaliwa tuwafanyaje
 
Hizi habar za kishenzi za kutukuza baadhi ya makabila fulan inchi ife hiyo tabia sio nzuri, ndio hayo wanazalisha siasa za ubaguzi kama kenya&rwanda.

Hao wachaga wamefanya lipi nchini ambalo makabila mengine hayajafanya? Hizi takataka zinazotoa habari kwa mihemko zizibitiwe kuokoa uvunjaji wa muungano wa raia nchini

Hujasikia Lusekelo alíchosema kuhusu kilichofanywa na Wachagga, amesema wao walipata uhuru kabla ya Tanganyika? Bado unauuliza wamefanya kipi cha ziada kuliko makabila mengine.
Kwani ni kabila gani lilipata uhuru wake kabla ya Tanganyika na lina bendera?

Ingawaje hizo sifa hazina maana yoyote kwa wakati huu
 
Hizi habar za kishenzi za kutukuza baadhi ya makabila fulan inchi ife hiyo tabia sio nzuri, ndio hayo wanazalisha siasa za ubaguzi kama kenya&rwanda.

Hao wachaga wamefanya lipi nchini ambalo makabila mengine hayajafanya? Hizi takataka zinazotoa habari kwa mihemko zizibitiwe kuokoa uvunjaji wa muungano wa raia nchini
Pole! Wewe utakuwa muhaya bila shaka maana siyo kwa povu Hilo😄
 
Hizi habar za kishenzi za kutukuza baadhi ya makabila fulan inchi ife hiyo tabia sio nzuri, ndio hayo wanazalisha siasa za ubaguzi kama kenya&rwanda.

Hao wachaga wamefanya lipi nchini ambalo makabila mengine hayajafanya? Hizi takataka zinazotoa habari kwa mihemko zizibitiwe kuokoa uvunjaji wa muungano wa raia nchini
Mkuu;

Usichukie, ni muhimu kukumbushana historia ilivyokuwa. Chuki ya ubaguzi haitokei kwa kusema tu kwamba in the past mambo yalikuwa hivi.

Chuki huja kwa ukandamizaji wa haki na ushirikishwaji haba kwenye keki ya Taifa!

Kujifunza kuhusu historia, tamaduni na desturi za jamii sio ukabila hata kidogo!
 
Back
Top Bottom