Mchungaji Lusekelo: Kanisa Katoliki linapaswa kuomba radhi kwa kutoa Waraka ule, nami nitawaombea kwa Mungu awashushie Roho Mtakatifu Wapone!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,014
142,053
Mchungaji Lusekelo wa Kanisa la Upako amesema maaskofu wa Katoliki wanapaswa kuomba radhi kwa kutoa Waraka wa namna ile

Lusekelo amesema ataliombea Kanisa Katoliki kwa Mungu wa mbinguni ili awashushie Roho Mtakatifu Wapone

Mlale Unono!
---
USEKELO: WARAKA WA TEC SI MAONI YA WATANZANIA NA WAKATOLIKI WOTE

Mchungaji Anthony Lusekelo amelitaka Baraza la Maaskofu (TEC), kutojumuisha maoni yao kuhusu Mkataba wa bandari kuwa ni maoni ya Watanzania wote, badala yake wangesema hayo ni maoni binafsi ya watu wachache waliopo kwenye Barazza la Maaskofu.

Lusekelo amesema si Wakatoliki wote wanakubaliana na huo Waraka.

Mchungaji Lusekelo "Kupinga ushonga hamuwezi kuzunguka nchi nzima lakini suala hili la Bandari kwani nauliza bandari ikiuzwa isiuzwe atuendi mbinguni"

Maana hakuna kitu haramu kama mwanaume kuolewa au ulawiti...lakini makanisa mengi huko kwa wenzetu ulaya yamebaliki ulawiti.

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo amewataka Maaskofu wa Kanisa Katoliki kuweka nguvu kupinga na kuzuia vitendo vya ndoa ya jinsia moja na ushoga badala kutoa waraka unaohusu uwekezaji wa Bandari, akisema hilo litafanywa na wanasheria na wanasiasa nchini.

Lusekelo ameyasema hayo leo wakati akiongea na waandishi wa habari kanisani kwake, jijini Dar es Salaam.
 
Kanisa la wazee wa upinde 😂😂
20230822_211545.jpg
20230822_213456.jpg
 
Kwakua yupo tofauti na unavyofikiri basi unamuona mchawi.
Hivi ww hushtuki,jamaa anatumika na serikali na iko wazi...nakumbuka propaganda za chanjo yy ndio alipewa mic kuwananga wenzake,kipindi cha awamu ya Tano nayo ametumika sana ku-spew controversial pro government sentiments.

He's been grifting off his parishioners for a long time.. why we continue putting people like this on a pedestal is beyond me.....
 
Ajira ya usemaji wa taasisi ya upako umepata lini
Mchungaji Lusekelo wa Kanisa la Upako amesema maaskofu wa Katoliki wanapaswa kuomba radhi kwa kutoa Waraka wa namna ile

Lusekelo amesema ataliombea Kanisa Katoliki kwa Mungu wa mbinguni ili awashushie Roho Mtakatifu Wapone

Mlale Unono!
Ajira ya usemaji wa taasisi ya upako umepata lini 🤔.Tuweke hapa na mkataba wenyewe ili tuende sawa🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom