Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

I am working on a paper kama hii hivyo ni muhimu sana kuwa na uhakika na tunachokiandika! Mkuu ninaomba source ya habari hii tafadhali!
Wanabodi,
Ufuatao ni mchanganuo wa gharama ya safari ya Rais Kikwete huko Brazil. Gharama za posho vimezingatia viwango vya posho kama zinavyoelekeza kwenye waraka wa serikali wa Malipo ya posho Safari kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali. Katika mchanganuo huu imekadiriwa gharama ya tiketi ya ndege kwenda na kurudi Brazil ni US$ 590.


MCHANGANUO WA GHARAMA ZA SAFARI YA RAIS KIKWETE HUKO BRAZIL
No
NAME
DAYS
PERDIEM RATE
ON TRANSIT
TOTAL PERDIEM
OUTFIT ALLOWANCE
AIR TICKET
TOTAL
(a)
(b)
(c )
(d)
(e)
(f)
(d) + (e) + (f)
1/2 x (b)
(a) x (b) + (c )
30 % X (d)
US$
US$
US$
US$
US$
US$
1
Afisa Usalama wa Taifa
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
2
Aloyce Masanja
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
3
Anna Nkinda
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
4
Body guard 1
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
5
Body guard 2
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
6
Daktari wa Rais
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
7
Gerson Msigwa
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
8
Jakaya Mrisho Kikwete
10
520
260
5,460.00
1,638.00
590.00
7,688.00
9
Katibu / Msaidizi wa First Lady
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
10
Katibu / Msaidizi wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
11
Katibu / Msaidizi wa Rais
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
12
Katibu / Msaidizi wa Waziri wa Zanzibar
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
13
Mpiga Pasi
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
14
Mpiga picha
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
15
Mpishi
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
16
Mulamula
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
17
Mwandishi wa Habari wa Rais
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
18
Mwandishi wa Hotuba wa Rais
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
19
Naibu Waziri Mambo ya Nje
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
20
Protocal Officer
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
21
Salma Kikwete
10
520
260
5,460.00
1,638.00
590.00
7,688.00
22
Susan Mlawi
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
23
Waziri wa Zanzibar
10
420
210
4,410.00
1,323.00
590.00
6,323.00
TOTAL IN US$
148,159.00
Exchange rate (TZS/US$)
1,700.00
TOTAL IN TZS
251,870,300.00
 
Hapo imetajwa idadi ndogo sana ya watu kwenye msafara huo maana Rais anposafiri anakwenda na Timu kubwa sana kama watu 75, kwa vile kuna wataalam katika fani zote, Washauri wake, Security Team na hii hutangulia kama siku tatu hivi kabla, Pia kuna gharama kama za Malazi na mambo mengine kibao(Security charges kama hakualikwa, Usafiri N.K>)
 
Noooooo..... hii ni just what is suppose to be kama watafuata..... Ila itakuwa mara mbili au zaidi ya hiyo.... ni kutupumbaza tu......
 
Hapa napata maana ya Chukua Chako Mapema. Yaani first lady analipwa sawa na rais? Kwa kazi gani? Kulala kitanda kimoja rais kama walivyowahi kuhoji wakenya juu ya ubabe wa Lucy Kibaki? Je kwa safari zaidi ya 300 amefilisi vipi nchi? Mungu tuondolee balaa hili kwa kutupa ujasiri wa kupamba nalo. Hakika rais anahitaji msaada wa somo la uchumi na uzalendo.
 
Mpiga pasi, mpishi ok sawa. sasa Salma {wife} kazi yake nini hasa
 
Wabongo kwa wivu siwawezi,
Hebu niambie nani unataka atoke kwenye hiyo list?

Mkuu hapa sijui nani ni mvivu wa kufikiri hapa.Kama hiyo safari ya Kikwete itailetea Tanzania hela mara 10 ya aliyoitumia kwenye safari yake hakuna ubaya wa kusafiri na ujumbe mkubwa kama huo. Salma amekwenda kufanya nini? nani amemlipia? Outfit allowance ya nini? piga hesabu ya idadi ya safari za rais na ujumbe wake, halafu piga hesabu ya outfit allowances, you tell me kama kweli wananunua hizo nguo au la

Tuna, mpiga picha anaenda kule kufanya nini? mbona picha za maana ambazo at least tunaweza kusema zina umuhimu fulani katika mambo ya kidiplomasia hatuizioni? au ya Maximo? ameenda kutoa hotuba ngapi mpaka mwandihi wa hotuba aongozane na Rais?

Mkuu ni vema Mamba aitwe mamba na Kenge aitwe Kenge.
 
Mbona hiyo budget ni ndogo sana, milion 200 kwa siku 10. em weka chakula, mafuta, walinzi wa kule aendako, hoteli. kikwete endelea hela zipo za kutosha.
 
Yaani mpiga pasi anapata rate sawa na Balozi. Rais mwenyewe mfujaji wa pesa unategemea mawaziri ndio wawe accountable huwa inaanzia juu. Halafu Pinda anadiriki kutuambia tufunge mkanda. It is just a matter of time, wataondoka tu.
 
kubali kutokulipa kodi ili kuwanyima ulaji mafisadi kama kikwete... inakuwaje safari moja inakuwa na watu wengi kiasi hicho,, binafsi naona kama ni ubadhirifu wa pesa za umma
 
Ama kweli aliyepewa na wananchi hujiongezea mwenyewe , hizo pesa zinztosha kutengeneza km 3 za rami. Kama asipoenda safari kwa mwaka mzima hakuna tutakacho poteza lakini tutakuwa tumejenga km 100 au zaidi. kwa miaka kumi tungejenga km 1000 ambazo zingewasidia watu wote na kizazi hata kizazi kingekumbuka barabara iliyojengwa na mzalendo aliyeipenda nchi yake. Bahati mbaya sana si mzalendo na masikini wa watu hatakumbukwa kwa lolote zuri na watanzania zaidi ya machungu.
 
Bado Marubani, na watumishi wengine ndani ya ndege, mafuta ya ndege kwenda na kurudi. Pia msafara wa Rais kutoka state house mpaka airport na kurundi mara mbili. Gharama ni zaidi ya hapo
 
naomba kazi ya malumalu,,,,,ila,,,muache wivu mbona sion wa kumpunguza hapo,,,,yet,,wewe unayesoma hapa kweli moyon mwako hutaman mapato haya,,,,,,,sema kweli mungu anaujua moyo wako,,,,,sasa unaguna nini,,,,,,yakitolewa matangazo ya kazi hizo,,,usaili pale uwanja wa soka patatosha,,,,,,hata shart iwe umesilim mashekh siwatakua bze kusilimisha watu,,,,,cheza na bongo wewe,,,,,,,acha wale,,kwani wakiondoka madarakan wataibomoa kisutu,,,,cheza na nguvu ya umma wewe,,,,tz bwana,..........natangaza nia same magharibi,,,,,hariiiiika,,nresari....tuvamwe,,,,,,:peace:


hilo ni jina la mtu..(liberata Mulamula) msaidizi wa rais mambo ya diplomasia
 
Wanabodi,
Ufuatao ni mchanganuo wa gharama ya safari ya Rais Kikwete huko Brazil. Gharama za posho vimezingatia viwango vya posho kama zinavyoelekeza kwenye waraka wa serikali wa Malipo ya posho Safari kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali. Katika mchanganuo huu imekadiriwa gharama ya tiketi ya ndege kwenda na kurudi Brazil ni US$ 590.


MCHANGANUO WA GHARAMA ZA SAFARI YA RAIS KIKWETE HUKO BRAZIL
NoNAMEDAYSPERDIEM RATEON TRANSITTOTAL PERDIEMOUTFIT ALLOWANCEAIR TICKETTOTAL
(a)(b)(c )(d)(e)(f)(d) + (e) + (f)
1/2 x (b)(a) x (b) + (c )30 % X (d)
US$US$US$US$US$US$
1Afisa Usalama wa Taifa10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
2Aloyce Masanja10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
3Anna Nkinda10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
4Body guard 110420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
5Body guard 210420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
6Daktari wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
7Gerson Msigwa10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
8Jakaya Mrisho Kikwete10520260 5,460.00 1,638.00 590.00 7,688.00
9Katibu / Msaidizi wa First Lady10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
10Katibu / Msaidizi wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje10420210 4,410.00 1,323.00 590.00
6,323.00
11Katibu / Msaidizi wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
12Katibu / Msaidizi wa Waziri wa Zanzibar10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
13
Mpiga Pasi10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
14
Mpiga picha10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
15Mpishi10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
16Mulamula10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
17Mwandishi wa Habari wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
18Mwandishi wa Hotuba wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
19
Naibu Waziri Mambo ya Nje10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
20Protocal Officer10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
21Salma Kikwete10520260 5,460.00 1,638.00 590.00 7,688.00
22Susan Mlawi10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
23Waziri wa Zanzibar10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
TOTAL IN US$ 148,159.00
Exchange rate (TZS/US$) 1,700.00
TOTAL IN TZS 251,870,300.00

Ilonifurahisha ni hiyo ya gharama/posho za watu wote kuwa sawa.
Halafu TBC ilisema safari ni ya siku tao
Lakini mkutano waliokwendea ulikuwa wa siku mbili
Sasa hapa tunaona wananing'inia huko siku 10.
"Tanzania ni shamba la bibi"
 
Haki ya Nani haiwezekani!! Umechakachua! Kwani walikwenda na ndege gani ile aliyoacha Mkapa?
 
Walitumia ndege gani ya bei rahisi hivyo? Brazil ni mbali sana ambako tiketi yake ya kutoka DAR na kurudi kwa economy class haipungui USD 1600. Halafu rais na mke wake pamoja na Mulamula (mwenye hazi ya balozi) wanasafiri kwa bussiness class ambayo bei yake ni kubwa zaidi
 
Mpiga pasi, mpishi ok sawa. sasa Salma {wife} kazi yake nini hasa
. Mtu atamuacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. Nampongera rais kwa kuheshimu neno la Mungu. Kuanzia sasa napendekeza bajeti iboreshwe kuhakikisha first lady anamsindikiza presidaa. Mke ni mshauri pia msisahau! Kama presidaa Obama na Michelle. Big up wengine wafate nyayo.
 
Back
Top Bottom