Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

Hapo tumeapproximate siku kumi tu Mkuu!

JK kakaa nje kama siku 5 hivi, iweje walipane siku kumi???sio WIZI huo??? Air ticket ya nini wakati hawa ni convoy na ticket zishalipiwa na wizara???Outfit allowance watumish wengine ni laki 300,000 hawa iweje iwe $ 1,323??? Je mpishi hawezi kupiga pasi??? Mwandish wa habari wa Rais kwann asiwe mpiga picha???Kweli kwa viongoz hawa majuha hatutafika.
 
kwa jinsi kikwete anyopenda kusafiri huyo mpiga pasi na mpishi wamelamba bingo, hayo marupurupu hata doctor or engineer hakamati hapo

mkuu hii mbona cha mtoto. Unajua gharama ambazo mapepo anayotembea nayo yanalipwa. Muulize pepo wake mkuu lukuvi.
 
Wanabodi,
Ufuatao ni mchanganuo wa gharama ya safari ya Rais Kikwete huko Brazil. Gharama za posho vimezingatia viwango vya posho kama zinavyoelekeza kwenye waraka wa serikali wa Malipo ya posho Safari kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali. Katika mchanganuo huu imekadiriwa gharama ya tiketi ya ndege kwenda na kurudi Brazil ni US$ 590.

MCHANGANUO WA GHARAMA ZA SAFARI YA RAIS KIKWETE HUKO BRAZIL
NoNAMEDAYSPERDIEM RATEON TRANSITTOTAL PERDIEMOUTFIT ALLOWANCEAIR TICKETTOTAL
(a)(b)(c )(d)(e)(f)(d) + (e) + (f)
1/2 x (b)(a) x (b) + (c )30 % X (d)
US$US$US$US$US$US$
1Afisa Usalama wa Taifa10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
2Aloyce Masanja10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
3Anna Nkinda10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
4Body guard 110420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
5Body guard 210420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
6Daktari wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
7Gerson Msigwa10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
8Jakaya Mrisho Kikwete10520260 5,460.00 1,638.00 590.00 7,688.00
9Katibu / Msaidizi wa First Lady10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
10Katibu / Msaidizi wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
11Katibu / Msaidizi wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
12Katibu / Msaidizi wa Waziri wa Zanzibar10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
13Mpiga Pasi10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
14Mpiga picha10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
15Mpishi10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
16Mulamula10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
17Mwandishi wa Habari wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
18Mwandishi wa Hotuba wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
19Naibu Waziri Mambo ya Nje10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
20Protocal Officer10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
21Salma Kikwete10520260 5,460.00 1,638.00 590.00 7,688.00
22Susan Mlawi10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
23Waziri wa Zanzibar10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
TOTAL IN US$ 148,159.00
Exchange rate (TZS/US$) 1,700.00
TOTAL IN TZS 251,870,300.00

sasa tupigie jumla ya safari zote 325 tangu awe rais ikiwemo aliyompeleka mwanae kula honeymoon
 
JK kakaa nje kama siku 5 hivi, iweje walipane siku kumi???sio WIZI huo??? Air ticket ya nini wakati hawa ni convoy na ticket zishalipiwa na wizara???Outfit allowance watumish wengine ni laki 300,000 hawa iweje iwe $ 1,323??? Je mpishi hawezi kupiga pasi??? Mwandish wa habari wa Rais kwann asiwe mpiga picha???Kweli kwa viongoz hawa majuha hatutafika.

Issa Michuzi naye alikuwapo, daily news, habari leo...sasa mwandishi wa raisi wa nn?NA ZILE NGO ZOTE NANI KALIPIA? Halafu mbona raisi alikuwa kikwete tu?
 
hivi CAG haruhusiwi kunusa matumizi ya ikulu? kama ikifanyika huku tutakufa kwa presha....hata hawa akina mkulo na ngereja tutawaonea aibu kuwanyooshea vidole kama hatujaanza na mkulu wa magogoni.
 
JK kakaa nje kama siku 5 hivi, iweje walipane siku kumi???sio WIZI huo??? Air ticket ya nini wakati hawa ni convoy na ticket zishalipiwa na wizara???Outfit allowance watumish wengine ni laki 300,000 hawa iweje iwe $ 1,323??? Je mpishi hawezi kupiga pasi??? Mwandish wa habari wa Rais kwann asiwe mpiga picha???Kweli kwa viongoz hawa majuha hatutafika.

Mkuu inawezekana JK akaunganisha Malawi kwenye mazishi za President Mutharika.. Alialikwa na akathibitisha kuwepo.. So kama akiunganisha maana yake zinaweza kufika siku kumi..
 
asantee naomba kujua sababu ya safari na Tanzania inafaidi nini kwa maana kwamba faida iwe juu ya hiyo gharama! uuuuuuuuwiiiiiiii
 
Mulamula ni nani? na kazi zake ni zipi
Mulamula huyo...

IMG_4136.JPG

mulamula l.jpg
 
JK kakaa nje kama siku 5 hivi, iweje walipane siku kumi???sio WIZI huo??? Air ticket ya nini wakati hawa ni convoy na ticket zishalipiwa na wizara???Outfit allowance watumish wengine ni laki 300,000 hawa iweje iwe $ 1,323??? Je mpishi hawezi kupiga pasi??? Mwandish wa habari wa Rais kwann asiwe mpiga picha???Kweli kwa viongoz hawa majuha hatutafika.

we vipi ukiwa nchi za watu siku ni masaa 12 tu. Kwahiyo tano mara mbili ni kumi.
 
Japo ume overstate exchange rate, and if all are true kuhusu huo wraka thats too much. Halafu huko anaenda kupiga stori na maximo na kukagua kilimo cha nyanya.

Lakini fare ticket (return ticket) ya $ 590 ni ndogo mno, inakaribiana na nauli ya South Africa. Halafu, wengine wao wameenda na business class nauli lazima ipae zaidi ya hayo makadirio uliyoweka hapa.
 
matumizi ya pesa si tatizo ila tatizo litakuja kama safari haina umuhimu au tija kwa taifa letu
 
Nauli kwenda Brazil naona umeipunja sana.

Halafu JK na watu wake kadhaa wanapanda 1st class, mawaziri wao business class, kwa vile safari ya mbali hata waandishi wanakatiwa business class.
Nauli kwenda Brasilia kwa SA Airways ni kama Usd 2,300 wakati Swiss Air inaweza fika Usd 5,000............

Kwa hiyo nauli peke yake kwa makadirio ya chini ni kama Usd 60,000 kwa daraja la kawaida.

Rais akisafiri hata wakibana matumizi haiwezi pungua dola 200,000 sawa na sh. 320,000,000.

Ila pia ukiangalia faida tunayopata ni kubwa sana kwa mfano alipokutana na Maximo alipewa ushauri kwamba club za Tanzania zinatakiwa ziwe na timu za watoto.
Nasikia kakutana na wafanyabiashara wakubwa wa kule, katembelea kilimo cha nyanya n.k

Ila asipohemea tutakula nini???????????
 
Back
Top Bottom