Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

Mbona pesa ndogo,rais anapata perdiem sawa na mpiga pasi?.
No wonder karudi kijijini kulima nanasi
 
Wanabodi,
Ufuatao ni mchanganuo wa gharama ya safari ya Rais Kikwete huko Brazil. Gharama za posho vimezingatia viwango vya posho kama zinavyoelekeza kwenye waraka wa serikali wa Malipo ya posho Safari kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali. Katika mchanganuo huu imekadiriwa gharama ya tiketi ya ndege kwenda na kurudi Brazil ni US$ 590.


MCHANGANUO WA GHARAMA ZA SAFARI YA RAIS KIKWETE HUKO BRAZIL
NoNAMEDAYSPERDIEM RATEON TRANSITTOTAL PERDIEMOUTFIT ALLOWANCEAIR TICKETTOTAL
(a)(b)(c )(d)(e)(f)(d) + (e) + (f)
1/2 x (b)(a) x (b) + (c )30 % X (d)
US$US$US$US$US$US$
1Afisa Usalama wa Taifa10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
2Aloyce Masanja10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
3Anna Nkinda10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
4Body guard 110420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
5Body guard 210420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
6Daktari wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
7Gerson Msigwa10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
8Jakaya Mrisho Kikwete10520260 5,460.00 1,638.00 590.00 7,688.00
9Katibu / Msaidizi wa First Lady10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
10Katibu / Msaidizi wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
11Katibu / Msaidizi wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
12Katibu / Msaidizi wa Waziri wa Zanzibar10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
13Mpiga Pasi10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
14Mpiga picha10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
15Mpishi10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
16Mulamula10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
17Mwandishi wa Habari wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
18Mwandishi wa Hotuba wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
19Naibu Waziri Mambo ya Nje10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
20Protocal Officer10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
21Salma Kikwete10520260 5,460.00 1,638.00 590.00 7,688.00
22Susan Mlawi10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
23Waziri wa Zanzibar10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
TOTAL IN US$ 148,159.00
Exchange rate (TZS/US$) 1,700.00
TOTAL IN TZS 251,870,300.00

mpiga pasi WA raisi
 
Leta faida au bakuli lakuomba tunayopata kutoka kwen ye safari zingineee za ombaomba ni ngapi
 
Naomba kuwa mpiga pasi wa rais...........:crying:

uko wapi TUMBIRI ?

uliyeandika mchanganuo huo , plz tazama upya ticket ya ndege sidhani kama ni dola 590 hata kama wangenunua group ticket , Brazil ni mbali sana kiasi bei ya ticket inaanza dola 1200

Sasa huyo naibu waziri/mambo ya nje, halafu msaidizi wake tena wa nini:what: kweli hii nchi waliokuwa awamu ya nne waliifanya shamba la bibi:eek:

Hadi Mama Wa kwanza naye analamba mpunga kama wa mkuu? Kweli tz shamba la bibi.

tiketi ya ndege i have my doubt kwan rais hua anasafir first class mbona hapo rate ni sawa? pili daktari na mpiga pasi per diem ni sawa?

alafu mke wa rais nae anakula per diem ya nn si wanalala chumba kimoja na mheshimiwa au?

Hakina kufuata kanuni za fedha hapo
 
Back
Top Bottom