MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Jamani hiyo tiketi ya ndege $590.00 si kutoka Dar hadi Mwanza? Hebu niambie zinapatikana wapi hizo tiketi za bei ya kutupa. Labda kama ni tiketi kwa ndege ya Rais!!!!
hiyo ni predda trans under the tz gvt na siyo hizi za kawaida,huwezi kumudu cost zake mpiga zeze!!!jamani hiyo tiketi ya ndege $590.00 si kutoka dar hadi mwanza? Hebu niambie zinapatikana wapi hizo tiketi za bei ya kutupa. Labda kama ni tiketi kwa ndege ya rais!!!!
Msururu wa watu wote hao haya Salma Kikwete anapata fedha sawa na za Jakaya kwa kazi gani anayofanya yeye,embu atulie akae chini sasa hizo fedha zinunue mbolea kule minjingu wanasema mbolea haitoki na zaida inunuwe vitabu vya walimu vya kufundishia na maabara ziwekewee vifaa
.
Source hii hapa
MCHANGANUO WA GHARAMA ZA SAFARI YA RAIS KIKWETE HUKO BRAZIL | ||||||||
No | NAME | DAYS | PERDIEM RATE | ON TRANSIT | TOTAL PERDIEM | OUTFIT ALLOWANCE | AIR TICKET | TOTAL |
(a) | (b) | (c ) | (d) | (e) | (f) | (d) + (e) + (f) | ||
1/2 x (b) | (a) x (b) + (c ) | 30 % X (d) | ||||||
US$ | US$ | US$ | US$ | US$ | US$ | |||
1 | Afisa Usalama wa Taifa | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
2 | Aloyce Masanja | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
3 | Anna Nkinda | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
4 | Body guard 1 | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
5 | Body guard 2 | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
6 | Daktari wa Rais | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
7 | Gerson Msigwa | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
8 | Jakaya Mrisho Kikwete | 10 | 520 | 260 | 5,460.00 | 1,638.00 | 590.00 | 7,688.00 |
9 | Katibu / Msaidizi wa First Lady | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
10 | Katibu / Msaidizi wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
11 | Katibu / Msaidizi wa Rais | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
12 | Katibu / Msaidizi wa Waziri wa Zanzibar | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
13 | Mpiga Pasi | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
14 | Mpiga picha | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
15 | Mpishi | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
16 | Mulamula | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
17 | Mwandishi wa Habari wa Rais | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
18 | Mwandishi wa Hotuba wa Rais | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
19 | Naibu Waziri Mambo ya Nje | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
20 | Protocal Officer | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
21 | Salma Kikwete | 10 | 520 | 260 | 5,460.00 | 1,638.00 | 590.00 | 7,688.00 |
22 | Susan Mlawi | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
23 | Waziri wa Zanzibar | 10 | 420 | 210 | 4,410.00 | 1,323.00 | 590.00 | 6,323.00 |
TOTAL IN US$ | 148,159.00 | |||||||
Exchange rate (TZS/US$) | 1,700.00 | |||||||
TOTAL IN TZS | 251,870,300.00 |
Source?
Mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mweeeeeeeeeeeeeeee jeikei utatuua, hii ndo serikali sikivu inayojali watu wake? Ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi katika kufuja Mali ya umma.jeikei muda si mrefu tutaingia msituni wewe ni mtu wa ajabu sana ccm ni wezi ndo maana mnaogopana hata kwenye kuadabishana maana hakuna msafi hata mmoja kati yenu.ni bora chadema nao washike hii nji!!!!!!.umefuata nini huko? Kila siku safari safari na tunazid kuwa maskini wa kutupwa ina maana kuwa safari zako hazina faida kwetu kaa kwako acho mtindo wa kutambeza bakuil kwa maximo huoni aibu wewe? Amaaa kweli tz ina rais.
Mshrnzi&$@;$$$$$$$ mpumbavu inamaana hujui rate za serikali !!$$$&&!!? Zako
mmmh.....mulamula shughuli yake ni nini....?
.
Source hii hapa
.Source as in chanzo cha taarifa! Stop being narrow-minded!
Mpishi na mpiga pasi ni wa nini Jamani???? duh
Simba Waende Aljeria na mpishi kikwete naye anabeba mpishi.
This is too much sasa na hawa watu wote ina maana hawajui kulima nyanya????