kwanza ujue unapoandika business plan ni hatua ya mwisho, inatakiwa uanze na vipande vipande (sub parts) then mwishoni unaanza kuunganisha kimoja baada ya kingine ili mwisho wa siku kupata bigger picture.
anza kuchanganua bidhaa peke yake kwa maana wapi utapata, bei ya unit unadhani utachukua kiasi gani kwa njia ipi je zipo njia ngapi. hasara gani zinaweza kutokea kwa kila njia je utaepuka vipi kwa style ya maswali na majibu kidogo kidogo unajikuta frame work au skeleton inaanza kuchukua sura, halafu pitisha kwenye analysis mbalimbali kama SWOT, na zingine, fanya risk assessment ya kila altenative, then hamia kwenye masoko pia fanaya the same and utunze kumbukumbu, ukimaliza nenda kwenye ushindani, competition na uone ni mwanya upi upo na kila mwanya mazuri yake na machungu yake. ukimaliza vyanzo vya mtaji. hivyo hivyo then unaanza kufanya compilation. ni rahisi sana na huhitaji kumpa mtu akutengenezee BP kwani mara nyinig hizi kazi za kutengenezewa huwa sio realistic katika implementation na zitakukatisha tamaa zaidi ya wewe mwnyewe unaye weza kufanaya hadi imagination ya hali halisi kulingana na business setting yako jinsi unavyoiona. then generate budget kwa kila ki - sub part. halafu ukisha maliza hapo sasa anza kuandika vitu kama intorduction, objectives, na vinginevyo including conclusion, wakati unaandika rasmi kila kitu ndo sasa unaingiza zile drafts zako ulizo andaa kwa kila kipengele. ila mzee ukianzia moja kwa moja kuandika mwanzo mwisho utadhani unayo mezani unaoisoma jua kabisa hautatoka na itakuboa.