Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 8,564
- 6,619
Babumawe wewe utatoka na nani?
Nimekuchagua weweKatika ubora wako
unaweza taja mtu hapa kumbe ni kidume mwenzio shida itaanzia hapoWajameni eeeh siku ndio hizo zinajivuta, Hebu leo fanya kuchagua wa kwenda kutembea nae siku ya valentine kutoka humu humu Jf.
Na ukimchagua anaweza kukubali au kukataa pia na ikitokea mpo wengi basi ana wajibu wa kumchagua mmoja.
HAYA TWENDE KAZI
View attachment 1699548View attachment 1699549
🤣🤣🤣Siye wengine ni maShekhe !!