Mchague mmoja wa kutoka nae Valentine kutoka JF

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Wajameni eeeh siku ndio hizo zinajivuta, Hebu leo fanya kuchagua wa kwenda kutembea nae siku ya valentine kutoka humu humu Jf.

Na ukimchagua anaweza kukubali au kukataa pia na ikitokea mpo wengi basi ana wajibu wa kumchagua mmoja.

HAYA TWENDE KAZI
IMG_20210210_224632.jpeg
IMG_20210210_224658.jpeg
 
Msipokimbiana humu mi nipo na mrejeshe na report mlivokutana. (uso kwa uso wote ngumu nyeusi) mnavoleta feedback mnsisahau kunitag
 
Back
Top Bottom