Mchague mmoja wa kutoka nae Valentine kutoka JF

Baby Chakorii V.Day hiyooo , nina zawadi yako ,na sharti uipokee tukiwa Zanzibar
Imeisha hiyo babe wangu.

😘😘usisahau kuniletea kigauni kizuri cha kuvaa siku hiyo
Kama👇
F018CBB3-9018-4DBD-90D5-5F77512B5A7F.jpeg
 
Niko na maplot, niko na chapaa, mwenye anakuja aje inbox twende shopping dubai
 
Wajameni eeeh siku ndio hizo zinajivuta, Hebu leo fanya kuchagua wa kwenda kutembea nae siku ya valentine kutoka humu humu Jf.

Na ukimchagua anaweza kukubali au kukataa pia na ikitokea mpo wengi basi ana wajibu wa kumchagua mmoja.

HAYA TWENDE KAZI
View attachment 1699548View attachment 1699549
unaweza taja mtu hapa kumbe ni kidume mwenzio shida itaanzia hapo
 
Back
Top Bottom