Kuna uwezekano TotalEnergies ndio kampuni inayoongoza kwa upendo wa dhati? Shuhudia upendo wa TotalEnergies kwa Watanzania kila siku za Valentine's

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,503
113,616
Wanabodi,
Japo Tanzania tuna makampuni mengi, na hakujawahi kufanyika survey yoyote ya mashindano ya makampuni kuwapenda Watanzania, kungefanyika mashindano hayo, kuna uwezekano kampuni ya mafuta ya TotalEnergies ikawa ndio kampuni inayoongoza kwa upendo kwa Watanzania?.

Ni kufuatia upendo kwa Watanzania ndio maana TotalEnergies inawapatia Watanzania bidhaa bora kabisa za mafuta ya petrol na dizeli zenye kiambata cha exellium chenye kimeng'enyo cha kusafisha injini ya gari yako, kutumia mafuta kidogo na kutoa moshi msafi rafiki mazingira.

Kwa vile hakujawahi kufanyika mashindano ya upendo wa makampuni kwa Watanzania, pia kuna uwezekano sio TotalEnergies ndio kampuni inayoongoza kwa upendo, labda kuna kampuni nyingine au makampuni mengine yana upendo mkubwa zaidi kwa Watanzania kuliko hata huu upendo wa TotalEnergies, lakini Wanafanya tuu mambo yao ya upendo kimya kimya hivyo akina sisi hatujui, hivyo kama unaijua kampuni nyingine yoyote zaidi ya TotalEnergies inayo onyeshaga upendo kwa Watanzania kama TotalEnergies au zaidi ya TotalEnergies, please itaje...

Wakati tukisubiri take, hebu shuhudia upendo huu wa TotalEnergies kwa Valentine's day ya mwaka huu!.
Karibu....

14/02/2023 By Mwandishi Wetu TotalEnergies Yaadhimisha Valentine kwa Kuhamasisha Upendo na Kuwazawadia Watanzania.

Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake zaidi ya 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao.

Akizungumzia kuhamasisha upendo, Meneja Maduka ya TotalEnergies, Jane Mwita amesema kampuni ya TotalEnergies inawapenda Watanzania na ina upendo siku zote ndio maana inawaletea mafuta bora yenye kiambata cha excellium na bidhaa bora za vilainishi, na leo ndio imeungana na Watanzania kuwaonyesha upendo kwa kuwapatia zawadi ya sikukuu ya Wapendanao ya Valentine kwa wateja wao, kwa kuonyesha ishara ya upendo na kuwawezesha kusherehekea sikukuu ya Valentine kwa Upendo.

Naye Meneja Masoko wa TotalEnergies, Carolyne Kakwezi amesema, TotalEnergies imeamua kuwahamasisha Watanzania kuwa na upendo kwa kupendana kama TotalEnergies inavyowapenda Watanzania, na amewakumbusha Watanzania, kuwa ukijaza mafuta kwenye kituo cha Total, haujazi mafuta tuu, bali unajaza mafuta ya Excellium, ni mafuta yenye viambata vya kuifanya gari yako itumie mafuta kidogo, kwa kwenda umbali mrefu, huku mafuta hayo, yakiboresha injini ya gari yako.

Akitangaza majina ya washindi hao, Ofisa Mawasiliano wa TotalEnergies, Anita Bulindi, aliwataja washindi hao ni Abduli Hamisi, aliyejazia mafuta Kituo cha mafuta cha TotalEnergies Ukuni mjini Bagamoyo mkoani Pwani, na mshindi wa pili, ni Godfrey Mushi aliyejazia mafuta kituo cha Msimbazi, washindi wote wamepelekwa kula, na kupumzika kwenye hoteli ya nyota 5.

TotalEnergies ni kampuni ya kimataifa ya nishati ya mafuta na gesi ni ni moja ya makapini ya kwanza kabisa ya kimataifa kujihusisha katika nishati ya jua duniani kote. Ina wafanyakazi 100 000 wenye kuchangia dhima ya kampuni : kuzalisha nishati bora na safi na salama, na kuizalisha kwa ufanisi zaidi, nguvu zaidi na ubunifu wa hali ya juu, huku ikiwa ni nishati ya gharama nafuu ili watu wengi waweze kuimudu.

Total ipo katika nchi zaidi ya 130, na inafanya kila linalowezekana kuboresha maisha watu wa nchi hizo kiuchumi na kijamii kwa kuzingatia uhifadhi wa mazingira husika.

TotalEnergies imeanzisha kampeni kabambe utafutaji na uzalishaji wa mafuta kwa kuongeza idadi ya visima vya mafuta huku ikijitahidi kupata nishati endelevu kwa ajili ya Bara la Afrika kwa sasa na baadae. TotalEnergies imejikita katika uhamasishaji wa utafutaji vya vyanzo vipya vya nishati kutoa kipaumbele cha elimu ya nishati kwa vijana ili kuendeleza uwezo wa kipekee wa bara hili la Afika kujiletea maendeleo. Mbali na hilo. Kampuni ya TotalEnergies ndio wasambazaji wa kwanza wa bidhaa za mafuta (mafuta ya petroli, dizeli, mafuta ya taa , lami, na GPL, nk) katika bara la Afrika. Shukrani kwa mizizi yake ya kihistoria, ubora wa bidhaa na huduma zake, kutoka jumla ya vituo 4200 vya mafuta katika nchi arobaini barani Afrika. Vituo vya mafuta vya Total ni vituo tegemeo kwa wafanya biashara binafsi na wateja wake. Lengo letu ni kuwezesha upatikanaji mkubwa zaidi wa nishati, ambayo pia inahusisha kuendeleza upatikana wa vyanzo vingi na mbadala vya nishati na kwa gharama nafuu - kama vile nishati ya jua, kwa kuuza vifaa vya nishati ya jua
Total tunasikiliza mahitaji ya wadau wetu, na sisi kwenda nao pamoja nao katika kuendeleza maendeleo ya kiuchumi, ajira, elimu na afya.

TotalEnergies Marketing Tanzania Ltd ni kampuni ya Mafuta ya petroli iliingia nchini Tanzania tangu mwaka1969. Biashara ya TotalEnergies Tanzania inalenga katika kutoa huduma za usambazaji na uuzaji wa mafuta ya petroli, dizeli vilainishi na bidhaa za mafuta, ambayo ni kuuzwa katika vituo mbalimbali vya mafuta na pia katika idara maalum ndani ya wake shirika hilo. Total Tanzania Limited inatumia utaalamu wake katika kutoa huduma za kuaminika kwa wateja wake kwa mfumo wa kadi maalum “ Kadi ya TotalEnergies ” kwa ajili ya ununuzi wa mafuta na huduma mbalimbali magari katika vituo vya mafuta vya TotalEnergies. Katika kujitanua kibiashara kuelekea kwenye matumizi ya nishati mbadala, kampuni ya TotalEnergies Tanzania Limited kupitia mradi wake wa Total Access to Solar (TATS) project, inasambaza taa za nishati jua zinazoitwa AWANGO kwa jamii ya Watanzania



TotalEnergies Valentine Photo 1 .jpg
Meneja Maduka ya TotalEnergies, Jane Mwita akizungumzia Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies Oysterbay, Dar es Salaam kuzungumzia kuhusu Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao.
TotalEnergies Valentine Photo 2 .jpg
Meneja Maduka ya TotalEnergies, Jane Mwita akitangaza majina ya Wsindi wa shindano la TotalEnergy Valentine, ambapo Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao. Wa kwanza kushoto ni Ofisa Mawasiliano wa TotalEnergies, Anita Bulindi, katikati ni Meneja Masoko, Carolyne Kakwezi. Tukio limefanyikia Kituo cha Mafuta cha TotalEnergy OysterBay jijini Dar es Salaam
TotalEnergies Valentine Photo 3 .jpg
Meneja Maduka ya TotalEnergies, Jane Mwita (kulia) akimpokea Wakala Mkuu wa Cadbury Chokolates nchini Tanzania, Sunjay Mehta, alipotembelea Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies Oysterbay, Dar es Salaam kuleta zawadi za chocolates za Cadbury kwa wateja wa Total, ambapo Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao.
TotalEnergies Valentine Photo 4.jpg
Mhudumu wa TotalEnergies, Jacqline Mshana akitoa zawadi ya chocolate kwa mmoja wa madereva kwenye Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies Oysterbay, Dar es Salaam kugawa zawadi za chocolates za Cadbury kwa wateja wa Total, ambapo Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao.
TotalEnergies Valentine Photo 5 .jpg
Meneja Maduka ya TotalEnergies, Jane Mwita (kulia) katika picha ya pamoja na Wakala Mkuu wa Cadbury Chokolates nchini Tanzania, Sunjay Mehta, (katikati) na Meneja Masoko wa TotalEnergy tANZANIA, Carolyne Kakwezi alipotembelea Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies Oysterbay, Dar es Salaam kuleta zawadi za chocolates za Cadbury kwa wateja wa Total, ambapo Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao.
TotalEnergies Valentine Photo 6 .jpg
Mmoja wa madereva wa Boda boda, akizungumza baada ya kupokea zawadi ya chocolate ya Valentine kwenye Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies Oysterbay, Dar es Salaam kugawa zawadi za chocolates za Cadbury kwa wateja wa Total, ambapo Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao.
TotalEnergies Valentine Photo 7 .jpg
Mmoja wa madereva wa Boda boda, akizungumza baada ya kupokea zawadi ya chocolate ya Valentine kwenye Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies Oysterbay, Dar es Salaam kugawa zawadi za chocolates za Cadbury kwa wateja wa Total, ambapo Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao.
TotalEnergies Valentine Photo 8 .jpg
Mmoja wa madereva wa magari, akizungumza baada ya kupokea zawadi ya chocolate ya Valentine kwenye Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies Oysterbay, Dar es Salaam kugawa zawadi za chocolates za Cadbury kwa wateja wa Total, ambapo Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao.
TotalEnergies Valentine Photo 9 .jpg
Mwandishi wa habari wa kujitegemea, Pascal Mayalla, (kulia) akimhoji Wakala Mkuu wa Cadbury Chokolates nchini Tanzania, Sunjay Mehta, alipotembelea Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies Oysterbay, Dar es Salaam kuleta zawadi za chocolates za Cadbury kwa wateja wa Total, ambapo Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao. Pembeni yake ni wahudumu wa TotalEnergies, Jaquiline na Salha.
TotalEnergies Valentine Photo 10.jpg
Wahudumu wa TotalEnergy, Jaquiline na Salha wakionyesha alama ya upendo kwenye Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies Oysterbay, Dar es Salaam ambapo Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao.
TotalEnergies Valentine Photo 11 .jpg
Wahudumu wa TotalEnergy, Jaquiline na Salha katika picha ya moja na mteja, Qeen Maria-Magdalena kwenye Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies Oysterbay, Dar es Salaam ambapo Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao.
TotalEnergies Valentine Photo 12.jpg
Mwandishi wa habari wa kujitegemea, Pascal Mayalla, (katikati) akizungumza kwenye Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies Oysterbay, Dar es Salaam kuleta zawadi za chocolates za Cadbury kwa wateja wa Total, ambapo Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania, imeungana na Watanzania kusherehekea sikukuu ya wapendanao ya Valentine kwa kuhamasisha upendo ambapo kwa sikukuu ya leo, kila mteja aliyefika kuweka mafuta katika kituo cha TotalEnergies, anapatiwa zawadi ya chokolate ya Cadbury kama ishara ya upendo katika vituo vyake 100 vilivyo tapakaa Tanzania nzima, ambapo pia washindi wawili wa zawadi ya mlo wa usiku hoteli ya Nyota 5, walitajwa na kupewa zawadi zao. Pembeni yake ni wahudumu wa TotalEnergies, Jaquiline na Salha.

Ushahidi kuwa TotalEnergies ndio kampuni inayoongoza kwa kuonyesha upendo kila siku za Valentine's ni huu hapa
  1. TotalEnergies Valentine's Day 2022 Japo Valentine's ilikuwa tarehe 14 February, kwa TotalEnergies bado wanaendelea kumwaga zawadi za Valentine's hadi Tarehe 27 Februari
  2. Hongera TotalEnergies Sio Tuu Kwa Kuonyesha Upendo, Bali Kuendeleza Upendo. Wengi Badala ya Kuonyesha Upendo, Wanaonyeshea ili Watu Waone!.
  3. TotalEnergies Valentine's Day 2021 Je, Wajua Kuna Watu Wenye Bahati na Wasio na Bahati? - Kajaze Mafuta Kituo cha TotalEnergies Wiki Hii, Upime Bahati Yako Kwa "The Wheel of Fortune".
  4. TotalEnergies Valentine's Day 2020 Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How Wakati Tunanunua Bulk?.
  5. TotalEnergies Valentine's Day 2019 Leo ni Valentine: Jaza mafuta kituo cha Total, upate Zawadi ya punguzo la bei ya mafuta.
  6. Na ili msinionee mimi Paskali kwa kunisema labda naifagilia kampuni ya mafuta ya TotalEnergies, hebu mwangalie huyu ni nani na anasema nini kuhusu TotalEnergies

Hivyo kama kuna mtu anaijua kampuni yoyote yenye upendo kama TotalEnergies aitaje.

Paskali
Rejea mbalimbali kuhusu TotalEnergies
  1. TotalEnergies Tanzania pours millions to winners of the 3rd Edition of the Startupper of the Year Challenge
  2. Je Kuna Haja ya Kutunga Sera ya CSR za Makampuni ili Ziwe Endelevu?, Serikali Yaipongeza TotalEnergies Kwa CSR Endelevu Kuwajengea Uwezo Watanzania!.
  3. Nishati Jadidifu: TotalEnergies yafanya tena kweli, yaongoza njia. Waziri Makamba aipongeza, awataka wengine wafuate
  4. Uwekezaji: Sio Kila Uwekezaji na Kujenga Nchi, Mwingine ni Kuvuna tu, Uwekezaji wa Total Energies kujenga Nchi!
  5. Licha ya kufanya makubwa Tanzania, kampuni ya mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, yaahidi kufanya zaidi na zaidi!
  6. Serikali Yaipongeza TotalEnergies Marketing Tanzania Limited Kwa Uwekezaji Mkubwa, Kujenga Uwezo wa Technology Transfer, na Kutoa Ajira Kwa Watanzania
  7. Live from The Grand Hyatt, Kilimanjaro Kempinsky- TotalEnergies Marketing Tanzania, Yazindua, Pure Lubricant, ni Funga Kazi!. Karibu Ushuhudie Live!
  8. Total yabadili jina sasa kuitwa TotalEnergies
  9. Maendeleo ya Kweli Yataletwa na Watanzania: Kampuni ya Mafuta ya Total Yazindua Kituo cha Kwanza cha Watanzania, Total Tegeta Service Station
  10. Kampuni ya Total Yainunua Gapco na Kuwa The Biggest Oil Company in Tanzania, Kenya & Uganda.
  11. Total yatoa fursa vituo vya COCO na CODO kuzigeuza DODO! Kuwa umiliki kituo cha mafuta cha total
  12. Kumbe Watanzania Wana Uwezo Kuwa Mabilionea, Walikosa Mitaji na Mbinu!. TotalEnergy Mkombozi, Yamwaga Fursa za DODO Nchi Nzima!. Tuchangamkie Fursa?.
  13. Total Tanzania yafanya makubwa, kuigeuza Tanzania kama Ulaya, yaanzia Temeke
  14. Total yazidi kufanya mambo kwa ajili ya Watanzania! Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja; mteja ni mshirika
  15. Total Tanzania yazindua shindano la 'startupper of the year by total'
  16. Una Eneo Pembeni ya Barabara?, Ungependa Kuwa Millionaire au Bilionea?. Usiuze Eneo Lako!. Total Kutengeneza Ma Milionea na Ma Bilionea 100 wa DODO!.
  17. Mhe. Anthony Mavunde, One of the Few, Very Best Magufuli Has. Anafaa Kuwa Waziri Kamili, Nimeguswa kwa Hili
  18. Watanzania ni masikini kwa kuukubali umasikini wa mawazo, tubadilike! Changamkia fursa hii
 
Back
Top Bottom