Mbunge wa Kilwa Kusini Afikishwa Mahakamani kwa Kufanya Fujo

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Mbunge wa Kilwa Kusini Mh. Suleiman Ally Bungara maarufu kwa jina la ***** leo asubuhi amekematwa na polisi katika kituo cha polisi Wilaya ya Kilwa na kufikishwa Mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika kituo hicho jana usiku. Tukio hilo nimetokana kwenda kumtoa shehe maarufu wa hapo Wilayani aliyekamatwa na polisi kwa kosa la Kukataa kuhesabiwa sensa. Alipofika alifanya fujo ambazo zilipelekea kukunjwa vibaya na OCD wa kituo hicho na kuwekwa chini ya ulinzi kwa muda. Hata hivyo, aliachiwa baada ya kufanya mawasiliano na RPC wa Mkoa wa Lindi.

Leo asubuhi, mbunge huyu alikwenda tena kituoni hapo na ndipo alipokamatwa muda wa saa 2 nakupelekwa mahakamani pamoja na shehe.

Kwa taarifa zaidi inaonyesha mh. mbunge ameachiwa leo saa 1 usiku huu kwa dhamana.
 
Frustration za kunyang'anywa jimbo hizo,
ameamua kujihalalishia kupitia udini...

Ha ha ha ha ha! Anataka ku-retain jimbo kupitia mgongo wa udini huyo gamba. Si jimbo lake lina wale jamaa kwa wingi? Lazima awe karibu na "viongozi". Magamba kweli wana vituko.
 
Frustration za kunyang'anywa jimbo hizo,
ameamua kujihalalishia kupitia udini...

Mnafki mkubwa kabisa,Yule mtoto wenu aloomba kura kwenye majukwaa ya kisiasa kule Arumeru mashariki na alipopata akaenda madhabahuni kushukuru pekee yuko sawa,yule alosimamia zoezi la kuua wagonjwa mahospitalin yuko sawa.leo anaeenda kumtetea mtu alokataa kuhesabiwa mdini! Hebu tusaidie definition ya Udin kwenu ikoje? Kweli Sheikh Ponda husema ' Mpiganaji hasubiri ruhusa ya Dhalimu kupinga dhulma! Hivi mkikomaa kwenye Ukafiri akili mnazimimina kwenye Divai nn?
 
Ni gamba b njomba. Have a look on another wonder of the world.


Member of Parliament CV


GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1690.jpg
First Name: Selemani
Middle Name:Saidi Ally
Last Name:Bungara
Member Type:Constituency Member
Constituent:Kilwa Kusini
Political Party:CUF
Office Location:Box 30, Kilwa kivinje
Office Phone: +255 787 666647/+255 715 666647
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: sbungara@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 18 November 1961
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Kivinje Primary SchoolPrimary Education19691975PRIMARY
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
The Civic United Front, CUFDistrict Chairperson2007
The Civic United Front, CUFDistrict Chairperson2002
The Civic United Front, CUFDistrict Chairperson1997


kama sikosei huyu mbunge ni ni CUF na bado ni mbunge halali au nimesahau wakuu?
 
Ni mbunge wa CUF al maarufu kwa jina la *****,nimeamini maneno uumba yeye na huyo aliewekwa ndani wote wanastahili hiyo nick name.
 
Mhh kwahiyo huyo mbunge naye anapinga sensa? Je na yeye hakuhesabiwa?
 
tusubiri maana ni mengi maajabu dunia kama hata mbunge anafanya hivi basi JK kuhesabiwa naye alifanya makosa maana wasaidizi wake hawataki wananchi wa hesabiwe
 
kwa habari ambazo nilizipata kutoka kwa mtu ambae alikuwepo kituon ni kwamba mbunge huyo alienda kwa ajili ya kumtoa huyo shekhe ila alipofika wakapishana maneno na OCD ndipo mbunge huyo akaanza kutoa maneno kwamba :sensa sensa kitu gan? Eti mtu anaulizwa una kitanda au tv;
 
Mnafki mkubwa kabisa,Yule mtoto wenu aloomba kura kwenye majukwaa ya kisiasa kule Arumeru mashariki na alipopata akaenda madhabahuni kushukuru pekee yuko sawa,yule alosimamia zoezi la kuua wagonjwa mahospitalin yuko sawa.leo anaeenda kumtetea mtu alokataa kuhesabiwa mdini! Hebu tusaidie definition ya Udin kwenu ikoje? Kweli Sheikh Ponda husema ' Mpiganaji hasubiri ruhusa ya Dhalimu kupinga dhulma! Hivi mkikomaa kwenye Ukafiri akili mnazimimina kwenye Divai nn?

Hata wewe ni kafiri kwa viwanngo vya walio na imani tofauti na ya kwako
 
Back
Top Bottom