mhalisi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,181
- 320
Mhalisi-- Hebu niambie mtu anayekataa Gari kwa sababu limetumika ila akapewa jipya akapokea huu ndio uzalendo? Arudishe gari lile tena kwa Bwewe kama alivyofanya mwanzo
unatoka nje ya mada Jimy P, kumbuka unazungumzia mbunge mwenye elimu ya darasa la saba na sio Mbowe.