njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 12,369
- 5,514
Jimmy P. Elimu ya darasa la & inakubalika kwa Mgombea yoyote, kwani yy huwa ni Muwakilishi wa wananchi na sio mtendaji, ukienda Marekani (Ronald Reagan) Msanii na mpanda farasi, Madagasca (Rais wa alikuwa DJ) kwa kifupi haizuii kuiongoza Nchi, Jimbo au Kata Elimu yako ya STD 7
sasa
Tatizo pale mnapofukua za wana ccm na kuanza kuponda mnaona sawa... Lakini wa chadema si sawa