Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa

Sasa ww ****** mbona na hiyo Phd ugombei ubunge kazi kukashfu elimu za watu shoga ww baba na mama ako ndo wamempa kura huyo darasa la 7 kahaba wa kiume ww

Haina maana yoyote kutoa matusi ama kashfa we chinga boy uwezo wako wa kufikiri ni DHAIFU toa hoja za msingi acha mambo ya taarab
 
vijana wengi wa tz wanafikiri msomi ni yule aliyesoma kwa mfuatano(series) yaani kuanzi st 7,form 4,form 6 na degree! mmeliwa !

elimu ya sasa ni utambuzi tu,tena mtu hata ambaye hakusoma mpaka la 7 anaweza kupata degree ya kitu fulani.

nenda na wakati bwana!
 
Elimu haiongozi watu wewe zezeta fikiri kabla utaachama domo lako tupo wenye std 7 lakini nchi inatuogopa kwa uwezo tulionao wa kupambanua!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kwa muda wote nilikuwa nasoma ujumbe nione nini lengo na uweledi wa mtoa mada ili nitoe mchango wangu! nimebaini anafahamu kuwa hivi punde CHADEMA itaingia ikulu ila anatoa rai kuwa, wasichague mwananchi wa darasa la saba kwa nafasi ya uwaziri! si wazo baya, ila anaonekana jinsi alivyo na makengeza ya maamuzi, haoni umati wa wasomi nyuma ya CHADEMA, anaona mbunge mmoja darasa la saba, japo mahili pia. this is myopic prejudice! hadi 2015 yeye na wenzake wenye mlengo huo watakuwa wameelimika kujua umuhimu wa CHADEMA ktk wakati uliopo. hajui huyu utamu wa ngoma asiyoicheza, kwamba CHADEMA hawana mpano wa kuwa na baraza kuuuuubwa la mawaziri marafiki wa nyakati zote! na hivyo wasomi waliopo bado hawata pata nafasi wote, wanamajukumu mengine yenye maslahi kwa Taifa hili tajiri kwa rasilimali japo wana CCM, wamelibatiza jina kuwa masikini, i rebuke msemo huo na laana iliyo ndani yake....Tanzania si masikini ng"o.
 
acha ujinga unafikiri kuelimika ni kuwa na hilo karatasi la phd jiulize nani kamfundisha profesa wa kwanza? hujui kuwa kuna watu wakizaliwa tu ni maprofessor
 
we vp m2 kafundsha toka 1973 adi 2000..af bado unasema ni darasa la saba? Monduli alisomea nn? Au amesoma monduli primary? Mbona watz mnaleta siasa kwa v2 ambavyo vko waz?....tz kila m2 mwanasia haya bwana.
 
Acha majungu!!! Mbona Chukuwa Chako mapema wao wana Mganga wa kienyeji Bungeni!!!Hebu nikuulize, nchi hii sifa ya kielimu ya kuwa Mbunge ni ipi? Digrii au Elimu ya Msingi? Yaelekea hujui usemalo waola ujualo kwa kuwa watu waliotuongoza vizuri sana na kwa uadilifu wa hali ya juu miaka iliyopita ni kina Mzee kawawa, ambao hawakuwa na hata CV za Kielimu!!!
Umebahatika kupata ka-digrii kako, shukuru Mungu na kwa aliyepata bahati mbaya akaishia darasa la saba hajakosa sifa ya kuongoza!!! Nasisitiza kwako tena ndugu yangu, usiwe na mtindio wa Ubongo kwa kufikiri kuwa kiongozi mzueri ni yule mwenye Digrii!!!!!
 
Back
Top Bottom