tena na magamba wenzake wakagonga meza kwa nguvu
La kuuliza hilo?
Anawaza ya leo tu,siyo kesho na keshokutwa itakuaje. ***** kama huyu anawaza CCM itatawala milele. Kumbe kesho mambo yakigeuka atasahau kama amewahi tamka kauli ya kijinga kama hii,ataanza kuwalalamikia Polisi.
janjaweed, alshabab, idiot kabisa huyo
huyu ni wakutafuta alafu aegeshewe gobore kwenye masaburi alafu ulikoki utasikia atakavyoharisha na kujamba kwa kasi ya hatari
Watu wa namna hii wanaongoza na moyo na wala siyo akili. Kwa kiingereza. They decide using heart and not head...du! Watu wajinga.
Ila kuna mwingine alisema kuliko kurudi chama flani, ni bora akamlale mama yake kaburini. Kilichofuata akawa mkuu wa propaganda wa hicho chama flani.
Maneno gani hayo dhidi ya mzazi...nina wasiwasi na akili ya huyu kijana
tena na magamba wenzake wakagonga meza kwa nguvu