Mbunge sadifa juma khamis (ccm): Nipo tayari kumpiga risasi baba yangu

Hivi wale wazanzibar walio pigwa risasi enzi za mkapa walilipwa fidia....au ndoa ya CUF na CCM wakapotezewa....
 
Anawaza ya leo tu,siyo kesho na keshokutwa itakuaje. ***** kama huyu anawaza CCM itatawala milele. Kumbe kesho mambo yakigeuka atasahau kama amewahi tamka kauli ya kijinga kama hii,ataanza kuwalalamikia Polisi.

kadhihirisha inapotokea maandamano wanawatuma police wakauwe na siyo kutuliza na hizo damu ndo zinazo wamaliza magamba sasa wanauwana wenyewe
 
Hainishangazi kusikia hilo kuliwahi kutokea Mbunge Mmoja toka Zanzibar vile vile alisema ndani ya Bunge Mungu akitaka asitake CCM haiwezi kukaa ndani ya Bunge kama mpizani katika wabunge wa kuwaogopa kwa kukufuru basi ogopa wabunge wa CCM Zanzibar kwani kufufuru zao nyingine hata mtu asiye amini Mungu hawezi kuzisema
 
Hivi kama huyo baba yake angekuwemo kwenye meli iliyozama, angelia kweli huyoooooo?
 
...du! Watu wajinga.
Ila kuna mwingine alisema kuliko kurudi chama flani, ni bora akamlale mama yake kaburini. Kilichofuata akawa mkuu wa propaganda wa hicho chama flani.
 
...du! Watu wajinga.
Ila kuna mwingine alisema kuliko kurudi chama flani, ni bora akamlale mama yake kaburini. Kilichofuata akawa mkuu wa propaganda wa hicho chama flani.
Watu wa namna hii wanaongoza na moyo na wala siyo akili. Kwa kiingereza. They decide using heart and not head
 
msameheni, muuulize alifika darasa la ngapi ? huyu kweli alipitia jeshi likamshinda akakimbia. sasa kujidai yy anajua sheria za jeshi ni mpuuzi tu

pili huo ubunge webyewe kapata kimagumashi na waulizani waliogombea nae.

kwa kweli huyu kijana anafikiri bungeni sawa na ngoma ya kule kwao donge KAMWITE DADIYO
 
Huenda Saddifa yuko serious, mdharau mwiba guu huota tenda. Saddifa yeye anaona CCM ni zaidi ya BABA yake it is next to God for him.

Kumbuka hata Hamud Mohammed Hamud naye alisema hivyo hivyo kwamba ipo siku atamua Karume Snr kulipiza kisasi. Karume Snr akadharau, matokeo yake guu likaota tenda (read akauawa).

Baba mzazi wa Saddifa achukulie kauli ya mwanaye serious, maana huenda labda hata siku moja akisikia ameipigia kura CUF badala ya CCM mzee wa watu anaweza kula risasi. Unless wakati anasema hayo maneno alikuwa insane.
 
Hii ni hatari kubwa, wabunge wengi wa CCM wanapochangia hoja bungeni mawazo yao huwa ni jinsi gani ya kuwadhibiti wana chama wa CHADEMA, CUF na vyama vingine vyenye upinzani wa kweli. Lakini atambue kuwa kuna maandamano mengine ambayo hayafungamani na siasa bali maisha ya kila siku, mfano huko jimboni Bumbuli kulitokea mauaji ambapo polisi waliwapiga risasi waandamanaji, lakini wananchi wa jimbo hilo karibu ya wote ni wanachama na wakereketwa wa CCM, Pia kule mkoani Ruvuma ilikuwa hivyohivyo, Na hivi majuzi wajenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi Dar es salaam waliandamana kwa ajili ya maslahi yao, bahati nzuri hakuna raia aliyepigwa risasi, ninao uhakika kuwa yale maandamano hayakuwa na kibali cha polisi, kwa hiyo kama huyu mheshimiwa angelipewa bunduki naamini angeliwashoot wote bila kuuliza sababu ya wao kuandamana.
 
tena na magamba wenzake wakagonga meza kwa nguvu

Hawa hawajui kuwa kuandamana Ni sehemu ya kushiriki katika siasa. Ama kweli wengi hawajui bado misingi ya siasa za ushindani, wamekwama bado katika siasa za chama kimoja.
 
Hakika tuna machizi bungeni,ina maana yeye utotoni mwake hakuwahi kukaidi amri yoyote ya mzazi! kwahiyo kama mzazi angekuwa na akili kama zake angekuwepo saivi.Tunaongozwa na matahira yanachowaza ni kupinga kila kitu cha upinzani hata kwa kumdharirisha wazazi,hapo yeye anaona ameongea..huku ni kutafuta sifa za kipumbavu.Mibunge ya CCM bwana.
 
Hiyo kauli nadhani ndiyo ilimpa sifa za kuwa Mwenyekiti wa UVCCM. Usicheze na chama hiki bwana, mtu anayetangaza hadharani kuwa anaweza kuua mzazi wake ukimwambia tega bomu kwa wapinzani hasiti kufanya hivyo tena bila kuuliza sababu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom