Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

Mengi ya magazeti hayo ni mali ya watu binafsi - waislamu kwa wakristu, wagoa kwa waswahili. Katika hili sasa tufanyeje?
 
mkristo ni mtu anayeyaishi mafundisho ya mwana wa mungu yesu kristo sio mtu mwenye jina la kibantu au kimagharibi,
hapa juhudi inayofanyika ni ya kutaka kuficha ukweli tu ila walengwa wa yale machafuko bandia walikuwa ni wakristo

leo ktk kipindi cha maswali ya papo kwa papo bungeni. Mbunge mmoja wa zanzibar alivilaumu vyombo vya habari kwa udini uliokithiri alipouliza mh pinda kuhusu yaliotokea zanzibar na uripotiaji wa habari hiyo kwa magazeti

"mh waziri mkuu, hivi karibuni palitokea vurugu zanzibar, lkn cha ajabu vyombo vyetu vya habari viliegemea tu uchomaji makanisa huku hata baadhi ya misikiti iliharabiwa na baadhi ya watu, lkn vyombo kwa makusudi vilificha habari hiyo.
Jee mh unashauri nini kuhusu vyombo vyetu vya habari kwa kubase zaidi upande mmoja huku matokeo kama hayo ya vyombo vya habari ndivyo vilivyosababisha mauji ya kenya na rwanda?

My take.sipendi udini lkn kwa mtitiriko huu kweli vyombo vyetu havitakuwa bias?
Jambo leo
muhariri mkuu: Willy edward (mkiristo)
muhariri wa habari: Julian msacky (mkiristo)
tzdama
muhariri mkuu:absolume kibanda (mkiristo)ambae pia ndio mwenyekiti wa jukwaa la habari
muhariri msaidizi: Albert ngurumo (mkiristo)
mwananchi
muhariri mkuu: Theophil makunga (mkiristo)
majira:
Muhariri mkuu:(mkiristo)
mtanzania
muhariri mkuu (mkiristo)
habarileo: John (mkiristo)
daily news
mhariri mtendaji wa gazeti la the guardian on sunday, richard mgamba
. mhariri mtendaji wa gazeti la nipashe, jose kwayu
mwenyekiti wa moat, reginald mengi .
 
Je kwa hili nalo hapa chini linalozunguka kwenye simu tutafika?
Katika ukusanyaji wa maoni yakatiba mpya wajibu wetu kama waislam ni: -
· Mapumziko siku ya ijumaa
· Kuondoa ushuru wa misaada yawaislam inayoingia nchini
· Mahakama ya kadhi
· Waislamu TZ waruhusiwe kujiungana umoja wa nchi za kiislam OIC
Nakuomba tuma SMS hii kwawaislam wote Tanzania nzima.

mKUU USIPINDISHE THREAD
 
hivi kwa akili yako msikiti kupigwa bomb na polisi, na kanisa kuchomwa na waislam unauna ni vitu vinavyoelekeana?....kwani hao askari wa zenji si waislam karibia wote?...unajua wazanzibari akili zao ni mgando hawatakuja wapate akili ya kufikiri hata siku moja, yaani hata ukitaka kumharibu mtoto wako mpeleke shule yeyote ya zenji, atarudi akili zote ameziacha amekuwa kopo..hata waelimike namna gani, akili inabaki palepale...mbumbuumbu....

Duh!kazi ipo ha ha ha
 
Makanisa yalichomwa na wana Uamsho kwa minajiri ya kuwaadhibu wakristo na kuhimiza kuvunjwa muungano na msikiti ulipigwa na polisi kutuliza ghasia! Huoni tofauti hapo?
.......asante mkuu,umemaliza!
 
Hii nimekutana nayo jana kuna jamaa alimtumia rafiki yangu akidhani ni MuIslam kumbe inazunguka kila mahali udini utaliangamiza taifa.

Je kwa hili nalo hapa chini linalozunguka kwenye simu tutafika?
Katika ukusanyaji wa maoni yakatiba mpya wajibu wetu kama waislam ni: -
· Mapumziko siku ya ijumaa
· Kuondoa ushuru wa misaada yawaislam inayoingia nchini
· Mahakama ya kadhi
· Waislamu TZ waruhusiwe kujiungana umoja wa nchi za kiislam OIC
Nakuomba tuma SMS hii kwawaislam wote Tanzania nzima.
 
Mimi niliwahi kusoma na mtu mmoja alikuwa na uwezo wa kujiumiza makusudi ili akutengenezee tuhuma... hao walioharibu msikiti ni kina nani? kama ni polisi, polisi nao ni wakristo? kwa mujibu wa encarta 90% ya wazanzibari ni muslims, yaan ktk wazanzibari 10, tisa ni waislamu, who was that much confident kuharibu msikiti wao wanamuangalia tu?! ningeelewa iwapo huyo mbunge ange declare kuwa PRO-UAMSHO
 
Kwa nini tuanze kuangalia nani mhariri wa gazeti gani kwa jina???? Huo ni ukosefu wa upeo, na kuwa na mawazo mgando yasiyokuwa na mwisho mzuri. Je unafahamu ni kwa nini majina kama yenu hayaonekani? Bila shaka ni kwa sababu pengine ham-qualify kwenye hizo post au mpo vizuri kwa upande mwingine wa `Dini zaidi`..... Wengi wetu tunashinda madrasa 24/7 kwa siku 365...... sasa hapo unaweza kuwa mwamdishi kweli???????????????/
 
Msikiti ULIPIGWA MABOMU NA POLICE tena kwa MAKUSUDI, lakini habari hii ilifichwa , Tanzania sijui inaelekea wapi!

Ni kweli, mimi ni Mkristo lakini sikufurahishwa na jinsi vyombo vyetu vya habari vilivyosambaza habari za vurugu za Zanzibar. Hivi waandishi wetu wakoje? Ni rahisi sana kumgundua mwandishi shabiki wa CCM, CDM, Yanga, Simba na pengine hata kabila lake. Ingawa bado kuna watanzania wanafurahishwa na habari za aina hii (za upendeleo) kama vyombo hivi havitadhibitiwa vitaleta maafa. Lazima

Bado sijawaelewa na hii hali mnayotaka kuipeleka Tanzania.

Kwa hiyo mna maana huko ZNZ waandishi wote ni Wakristo, mbona huwa nasikia Waislamu wengi tu au ni majina yale lakini wamebatizwa???

Kama wote ni wabatizwa!!! basi Yesu yu karibu kuja na ataikuta Dunia yote in amani kama aliyoiacha.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
"Religion is the opium of the people" by karl max.

Naona harufu ya udini taaratibu inaingia bungeni...
 
Kwa nini tuanze kuangalia nani mhariri wa gazeti gani kwa jina???? Huo ni ukosefu wa upeo, na kuwa na mawazo mgando yasiyokuwa na mwisho mzuri. Je unafahamu ni kwa nini majina kama yenu hayaonekani? Bila shaka ni kwa sababu pengine ham-qualify kwenye hizo post au mpo vizuri kwa upande mwingine wa `Dini zaidi`..... Wengi wetu tunashinda madrasa 24/7 kwa siku 365...... sasa hapo unaweza kuwa mwamdishi kweli???????????????/

...asante mkuu!
 
Hii nimekutana nayo jana kuna jamaa alimtumia rafiki yangu akidhani ni MuIslam kumbe inazunguka kila mahali udini utaliangamiza taifa.

..na hiki ndo wanachokitaka,hayo mengine ni longolongo 2!..kweli kazi mnayo
 
quote_icon.png
By Iramba Junior
Je kwa hili nalo hapa chini linalozunguka kwenye simu tutafika?
Katika ukusanyaji wa maoni yakatiba mpya wajibu wetu kama waislam ni: -
· Mapumziko siku ya ijumaa
· Kuondoa ushuru wa misaada yawaislam inayoingia nchini
· Mahakama ya kadhi
· Waislamu TZ waruhusiwe kujiungana umoja wa nchi za kiislam OIC
Nakuomba tuma SMS hii kwawaislam wote Tanzania nzima.
mhh...
 
mbona shein rais wao naye hakuongelea wala kulaani kuchomwa kwa misikiti..? ina maana rais wao naye ni mkristo?
 
Back
Top Bottom