Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 19,680
- 59,799
===
Mambo makuu matatu yameonesha maridhiano na nia njema ya Mh. Rais Samia. Mosi ni ruhusa ya kufanyika kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa, pili ni ahadi ya kufanywa kwa marekebisho ya sheria mbalimbali, na tatu ni kuhusu ahadi ya kuukwamua mchakato wa kupata Katiba Mpya.
#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
#KatibaYaWatu
#KatibaNiMaridhiano
#UchaguziNiMashindano
#MatokeoChanya
##SisiNiTanzania