Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Of course, mimi binafsi jana nimeconfirm kupitia source yangu iliyo zanzibar kwamba kuna uwezekano mkubwa sana Uamsho hawakushiriki kwenye vurugu hizo. Lakini swala la msikiti kupigwa bomu tena na askari halikuwa na uzito wa kipekee kulinganisha na kanisa kuchomwa moto sababu kwa haraka haraka naendelea kuamini kwamba askari huyo alirusha bomu katika harakati za kuwapunguza waasi nguvu. nadhani badala ya kupiga kelele kwamba msikiti umepigwa bomu na askari kutoka tanganyika issue ya msingi ni kuangalia kama kweli mabomu yalikuwa yanahitajika kutuliza vurugu hizo, na pili relevance ya msikiti kushambuliwa kukionakana hakuna sababu ninawakabidhi huyo mtanganyika mumuhukumu hata kwa taratibu za sharia."wewe endelea kudhaniya. mimi nipo ground zero, ni kweli msikiti umeharibiwa kwa kupigwa mabomu na polisi, ni katika hao polisi ndio walotoa habari kwamba ulipigwa makusudi na polisi flani kutoka tanganyika, uchunguzi kamili umefanyika na kishajulikana. pia habari ya makanisa yaliyohujumiwa, hamtaki kukubali hiyari yenu, ila hata UAMSHO wamelaani kitendo hicho na wakaahidi watasaidia uchunguzi kujulikana nani amefanya kitendo hicho. KWA TAARIFA TU! Uamsho tayari wamepeleka rasmin taarifa yao polisi, iulizeni polisi ikutoleeni ripoti hiyo. Tatizo hili suala la kudai Zanzibar yetu sio dogo kama mnavyofikiri... hehehehe. ipo siku mtatusoma"