Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

baba yake mbowe alikua fisadi mkubwa miaka ya nyerere. ndo wazee wachache nyerere aliwaachia kuiba fedha zetu...
Mwache mzee Mbowe apumzike kwa amani. Alikuwa mkulima, mfugaji, mfanyibiashara. Sijawahi kusikia popote pale Moshi kuwa alikuwa fisadi. Alisaidia sana wanyonge na alijitolea kwa hali na mali kukijenga chama cha TANU. Ni rahisi kushutumu mtu fisadi bila kutoa ushahidi, na kwa mtazamo wako, hata akina Rupia, Sykes, ambao walipata utajiri enzi za ukoloni na kusaidia kujenga chama cha TANU walikuwa mafisadi. You are pathetic.
 
ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.

Bila kificho, nina shaka na huyu aliyeandika haya maoni. Kwa sasa CHADEMA inakuja juu tena kwa kasi hata wafanyakazi serikalini hawataki kuisikia CCM ikipumua zaidi ya kuiombea kifo kunako 2015. Kwa hali hii basi, propaganda nyingi zitakuja ili kuwavuruga wananchi pamoja na viongozi wa CHADEMA ili chama kisiwe na mshikamano na Chama Cha Majambazi (CCM) kizidi kutunyanyasa na kutupora mali zetu. Sina shaka kabisa huyu muandikaji akawa Nnape Nnauye kaja kutupa vuvuzela lake humu JF, au la Wassira mwenyewe ndiye aliyeandika haya. CCM mmechoka, ujambazi una mwisho wake na mwisho wake ni mbaya sana. Subirini tu kunako 2015, jeneza lenu lileeeeeee!
 
Hata kina Kennedy Marekani walitoka familia iliyokuwa na unafuu. Ingeeleweka kama akina Kennedy wangekuwa Republicans, lakini haikuwa hivyo kwa sababu walikuwa na moyo wa kumsaidia the little guy. Hii ya kutoka familia yenye unafuu haikufanyi uwe bwanyenye kimantiki na kimtazamo. Marehemu Edward Kennedy was the most liberal senator the Democrats have had. Ukiangalia siasa zake, usingefikiria kuwa ametoka familia ya mamilionea.
Hapa ndipo unapopata raha ya majadiliano.Nilitaka kutoa mfano wa bill gates lakini nikaona utakuwa hauna mashiko.Nashukuru sana kwa ufafanuzi ambao umeambatana na mfano hai.
I wish tungekua na jukwaa lingine ambalo halina matusi na watu wanajadiliana kwa hoja.Great.
 
Kigoma wanamwamini Zitto kama walivyokuwa wakimwamini Walid Kabouru. Kigoma...haiaminiki!
 
duh,mbowe naye kibaraka,tumwamin nani,? lakin waswahili walisema ''mtoto wa nyoka ni nyoka''sijui kama ni kweli,
 
ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.
umemaliza kusema? msalimie Makamba
 
MNYISANZU

Halafu vipi kuhusu mzee Lowassa na afya yake? Bado unadhani anaweza kuwa rais wetu au ume-change mind na kuhamia CHADEMA sasa baada ya kukatishwa tamaa na mgogoro wa afya ya mzee?
Mtani, Hon. Lowassa yu bukheri wa afya. Tunatakiwa kuombeana uzima . I support Lowassa for presidency 2015 through CCM.
 
ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.
kwa hiyo huko kigoma nani si kibaraka kama mbowe ni kibaraka? au mtu akiwa na mahusiano na baba wa taifa huyo ni kibaraka kazi yenu kila kukicha kumchafua mbowe ,slaa,lema,wenje,mara mnyika,msigwa,heche mnaona mmemaliza mtaishia kupayuka tu nendeni fb mkaweke uchafu humu is not your site
 
kama unalinda fisadi nawe ni fisadi. jibuni hoja. nipo hapa kijiwe cha URUSI hapa kuna tawi CDM, CUF, NA CCM, Bado wanahoji kuwa mbowe alilelewa ikulu na nyerere huyu ndio mtu anayeweza kutukomboa kweli? anahoji jamaa mmoja.

Ni hoja dhaifu mno uliyoileta mkuu.

Kwani Mhe. Nyerere hakupata kuwakomboa watu wa TZ? Na kwa ushahidi upi ulionao utakaothibisha kwamba baba yake Mhe. Mbowe alikuwa fisadi, wakati msamiati wenyewe haujafikia hata umri wa miaka kumi?
 
Mbowe anawanyima usingizi CCM,ahongeki hta kidogo na hao majambazi CCM
 
Maneno ya mkosaji hayo kuandika ni uhuru wako but ujisahau xana umesikia una uthibisho wowote au wamekutuma hao wahuni wenzako ccm kamanda mbowe songo mbele ongoza jahaz watasema xana.
 
kigoma hawana hakika wapo nchi gani ,ndivyo ilivyo katika vyama.Sasa mnaenda kinyume na ukweli wa aliyewenu.Burundi wakipata power kidogo tuu kabla serikali dhaifu haijatoka mtakuwa kule mpaka ukombozi uje.
 
Mwache mzee Mbowe apumzike kwa amani. Alikuwa mkulima, mfugaji, mfanyibiashara. Sijawahi kusikia popote pale Moshi kuwa alikuwa fisadi. Alisaidia sana wanyonge na alijitolea kwa hali na mali kukijenga chama cha TANU. Ni rahisi kushutumu mtu fisadi bila kutoa ushahidi, na kwa mtazamo wako, hata akina Rupia, Sykes, ambao walipata utajiri enzi za ukoloni na kusaidia kujenga chama cha TANU walikuwa mafisadi. You are pathetic.
Kama baba yake na Mbowe alikuwa FISADI alikuwa idara gani ya serikali?Je ni sekta ipi au wizara gani au kampuni gani alikuwa ameajiriwa?Kabla ya kutoa hoja fanya uchunguzi wa kutosha ndo uongee nje na hapo utaonekana mpumbavu hata vitabu vya dini vinatuonya kuongea kitu abacho hatujuhi.kama wewe unayesema baba yake mbowe ni fisadi.
 
Back
Top Bottom