Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.
 
halafu mtoa mada anajitamba amefunga mwezi mtukufu ..... puke ... sipendi unafiki kabisa
 
Kwenye msiba wa Bob Makani Katibu Mkuu wa CCM aliteleza na Mbowe akanyosha maneno kwa kutoa historia fupi.

Ndani ya historia kuna mahali alitaja washiriki wa kikao naye mwenyewe akiwepo kama kiongozi wa vijana.

Inawezekana kabadilika lakini kwa nini awe kibaraka wa CCM sasa ambapo CDM imeanza kupata mafanikio?

Tujadiliane kwa amani.
 
Chadema iko imara kama jiwe, shukrani ziende kwa mwenyekiti wetu freeman mbowe. Mwakani ni uchaguzi mkuu wa cdm na kwa hakika atapata kiti hicho bila kupingwa kama ilivyo kawaida yetu. Katibu mkuu atakuwa yule yule dr. Wilbrod slaa akisaidiwa kwa karibu na wa ubani wake mshumbushi ambaye kwa hakika ndiye atakayekuwa akiongoza jahazi la cdm kwani hadi sasa akisema kitu ndicho kinachotekelezwa.

Mwaka 2015 uchaguzi mkuu, mahelkopta manne yatakuwa kwenye kampeni lakini oooooooooooooooop ushindi umeponyoka. Wabunge walioongezeka ni watano tuu. Ohhh ngoja ni ccm wameiba kura. Najiuliza baada ya cdm kushindwa mara tatu kwa kishindo, ushawishi wake kwa umma utakuwaje? Ok you can say i am fool, au kwani wewe ni sheikh yahya?

Lakini uchaguzi mkuu wa 2012 utatabiri future ya cdm. Siasa za ukoo zisivuruge ndoto za chama chetu. All the best.
 
mpepalilambo

ni vizuri kwa kujitambua mwenyewe kuwa ni fool,ngoja nikuongezea we ni imbecile kabisa na hao ndg zako mnaoanzisha thread za kimagamba mara,mbowe anatumiwa,mara tundu lisu anatumiwa,naona leo ndo siku ya kupokea posho kwa nnauye jr
 
Last edited by a moderator:
Watu wa ccm b siku hizi akili zenu zimeanza kufa. Taratibu tutawazika miili yenu ikiwa hai lakini akili zimekufa.
 
ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.
kwa hiyo kumbe na NYERERE naye alikuwa ni muhujumu uchumi? hebu subiri.... mbona baada ya kupitia posts zako zinaonesha wewe ni pro-ccm kabisa! na kwa akili yako kesho naomba ktk mkutano huo uchunguze hao mawaziri wamekuja na magari ya wizara au ya ccm hapo mkutanoni, halafu ulete your take hapa JF.
 
Ndio tabu ya kutumia kichwa kufuga nywele badala ya kuwa na maono au mfikilie 2o15 mtazikwa makaburi gani kama ni kinondoni au kisutu? mnajipa moyo kuwa mbowe ni kibaraka wenu hata akiwa kibaraka hawezi kubadilisha imani ya watz kwa cdm kuingia ikulu
 
mkigoma

Unaweza tupatia minutes za hiyo mikutano ambayo majadiano yake yamepelekea wewe kuleta huu uzi? Ukiambatanisha pia na attendance list coz yaweza kuwa unawasilisha mawazo yako lakini unajifanya unawakilisha wengi.

Failure to do so then huu utakuwa umbeya.
 
Last edited by a moderator:
MNYISANZU

Halafu vipi kuhusu mzee Lowassa na afya yake? Bado unadhani anaweza kuwa rais wetu au ume-change mind na kuhamia CHADEMA sasa baada ya kukatishwa tamaa na mgogoro wa afya ya mzee?
 
Last edited by a moderator:
Kwenye msiba wa Bob Makani Katibu Mkuu wa CCM aliteleza na Mbowe akanyosha maneno kwa kutoa historia fupi.

Ndani ya historia kuna mahali alitaja washiriki wa kikao naye mwenyewe akiwepo kama kiongozi wa vijana.

Inawezekana kabadilika lakini kwa nini awe kibaraka wa CCM sasa ambapo CDM imeanza kupata mafanikio?

Tujadiliane kwa amani.

Achana na Mkigoma, CUF imekamata fahamu zake, anatishwa na kasi ya CDM maana CUF wanadhani kupoteza kwake umaarufu sababu ni CDM.
 
hivi, hakuna wazo jpya ktk siasa za tanzania zaidi ya mawazo mgando ya CCM na CHADEMA, we must focus beyond these silly arguments if really we need changes, personally, wakombozi wa kweli nawaona nje ya ccm na chadema, wakiungana na hawa baadhi, ZITTO, MDEE, KAFULIRA, MWAKYEMBE, SLAA. Hawa hawajawahi kupiga kelele bali utoa hoja makini kwa mtazamo wa kujenga nchi sio kutafuta ujiko, i repeat FOCUS BEYOND POLITICS IF U REAL NEED CHANGES
 
kwa hiyo kumbe na NYERERE naye alikuwa ni muhujumu uchumi? hebu subiri.... mbona baada ya kupitia posts zako zinaonesha wewe ni pro-ccm kabisa! na kwa akili yako kesho naomba ktk mkutano huo uchunguze hao mawaziri wamekuja na magari ya wizara au ya ccm hapo mkutanoni, halafu ulete your take hapa JF.

kama unalinda fisadi nawe ni fisadi. jibuni hoja. nipo hapa kijiwe cha URUSI hapa kuna tawi CDM, CUF, NA CCM, Bado wanahoji kuwa mbowe alilelewa ikulu na nyerere huyu ndio mtu anayeweza kutukomboa kweli? anahoji jamaa mmoja.
 
Back
Top Bottom