Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

Wakuu Nikiwa Muadhirika Wa Mabadiliko Yoyote Yale Nimetumia Nguvu Nyingi Kutetea Kwa Kujiamini Chama Changu Hichi Kilo Rohoni Mwangu.

Ila Kuanzia Mchakato Wa Mgombe Urais Na Sasa Uteuzi Wa Viti Maalumu Nimekubaliana Na Wanaoamin Kuwa Mwenyekiti Ana Malengo Yake Tofauti Na Malengo Ya Chama
Umeadhirika?!
 
Wakuu nikiwa muathirika wa mabadiliko yoyote yale nimetumia nguvu nyingi kutetea kwa kujiamini chama changu hichi kilo rohoni mwangu.

Ila kuanzia mchakato wa mgombe urais na sasa uteuzi wa viti maalumu nimekubaliana na wanaoamin kuwa mwenyekiti ana malengo yake tofauti na malengo ya chama
Kivipi kamanda kwa nini usifafanue unaishia hewani tuuu
 
Wewe je umekamilika au unadhani mwenyekiti malaika?tuachie chadema yetu kama hupendezwi hama nenda upande wa pili..haturudi nyuma
Mmhh! Sema wewe hurudi nyuma. Lakini usiwasemee wwngine. Chadema imeangukia pua kipindi hiki eti bado unajitekenya mwwnyewe kama zuzu.
 
Maccm mnahangaika sana na CHADEMA,. Mnapoteza mda tu. Kwani umepigiwa umambo CHADEMA? Hama!
 
Wakuu nikiwa muathirika wa mabadiliko yoyote yale nimetumia nguvu nyingi kutetea kwa kujiamini chama changu hichi kilo rohoni mwangu.

Ila kuanzia mchakato wa mgombe urais na sasa uteuzi wa viti maalumu nimekubaliana na wanaoamin kuwa mwenyekiti ana malengo yake tofauti na malengo ya chama

Kichwa cha habari nikajua utakuwa umefanya bonge la uchambuzi!!!!
 
Wakuu nikiwa muathirika wa mabadiliko yoyote yale nimetumia nguvu nyingi kutetea kwa kujiamini chama changu hichi kilo rohoni mwangu.

Ila kuanzia mchakato wa mgombe urais na sasa uteuzi wa viti maalumu nimekubaliana na wanaoamin kuwa mwenyekiti ana malengo yake tofauti na malengo ya chama

ACHA BANGE ZAKO WE KILAZA...
MBOWE NI NEXT LEVEL HAWEZI KUPIMWA NA AKILI NDOGO KAMA YAKO KIJANA!
-Mnapenda uanaharakati katika siasa jambo ambalo kwa sasa halina tija kimapinduzi katika siasa....
 
Mtoa mada unawaza kama mwanafunzi wa darasa la pili. Wewe unadhani kwa uliyoandika hapo utaweza mshawishi mwenye bongo aamini ujinga ulioandika? Hata kama hatukuoni physically kupitia uandishi wako mtu mwenye akili haraka atagundua wewe si mmoja wa wana Chadema.
 
Ni misukule pekee ndio inaweza kumwamini Mbowe. Mbowe ni fisadi la mafisadi.
 
Mmhh! Sema wewe hurudi nyuma. Lakini usiwasemee wwngine. Chadema imeangukia pua kipindi hiki eti bado unajitekenya mwwnyewe kama zuzu.

Hahaha sawa wanalumumba hata mbuyu ni mkubwa sana ila ulianza kama mchicha tunaenda mdogo mdogo hata mtoto katika ukuaji haruki stage atakaa atatambaa atasimama na mwisho atatembea..Aluta continua
 
tatizo vyama vyetu vyote vya upinzani tumewekeza kwa mtu mmojaa!!

Hapa ndipo inapotokea tunasema, je nani atakuwa mbadala wakeee??
 
Back
Top Bottom