Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

Hodi huku,

Sijaandika muda mwingi baada ya kuona viongozi wa JF ni kundi moja na wale wanaotetea demokrasia wakati hawafanyi demokrasia.

Dj49xc1XsAUj9hN.jpg

Pamoja na yote yanayotokea sahizi, lazima tutafakari ni wapi tumeanguka ili tutubu. Siasa za sasa zimekuwa ngumu sana kwa pande zote za wanasiasa. Uwe CCM au Mpinzani. Nachelewa kutaja neno "UPINZANI" kwa vile hatuna mfumo unaoweza sema kuna vyama vya upunzani mpaka sasa.

Mbowe ni nani?

Ni kiongozi aliyebeba tumaini la Watanzania wengi kwa muda mrefu, wakiamini kuwa atavusha angalau waachane na mfumo wa chama tawala, CCM. Alikubalika na kila mtu, alikuwa akisema watu wanakubali, bila yeye kujiongeza jinsi ya kutumia tumaini la watu kwake kuwa tumaini la taifa. Mwisho aliweka tumaini la watu kuwa tumaini lake.

Hapa ndo siasa zilianza kuonekana kwa watu wote. Ndani ya wapinzani na CCM yenyewe. Wanamatumaini wengi walipiga konde, wakasonga mbele huku wakitafakari undani wa tumaini lao kufinywa na mtu. Wengi mioyo yao ikaanza kukataa tamaa na kusema moyoni bila kusikika.

Ukweli ni kuwa yanayotokea sahizi si ya leo. Yameanza majuzi ila wengi walikuwa wamepiga konde siku ziende. Wakiwa wanatumaini la mwisho kama litatokea. Ila hawakujua lini litatokea.

Wameanza kuongea, sauti zinasikika. Katulaghai, katulaghai!!!!

Hapa ndo kama mwananchi wa kawaida najipepesa naangalia 2015. Jee nani alituroga? Nani ametufanya kuwa butu namna hii.

Kuna jamaa anaitwa ZZK. Nilisema na nasema tena. Atapindua meza. Hii meza tuliyokalia si salama. Ni mtu mwenye mikakati na mfuatiliaji wa vitu.

Hii meza yetu, huuuu!!! Kuna shida, tena shida kweli.

Tujitafakari!!!

Nimerudi tena.
Eti Ufipa-Kinondoni. Tutayaona na kuyasikia mengi sana kutoka timu ile ya upande wa pili. Balaa kweli
 
Hapa naona timu mbili zinazoshindana kuleta habari. Team Lisu Vs Timu Mbowe.
Ndiyo maana kutwa the same story.
Ni mwenyekiti,hakuna uchaguzi ,atabaki mwenyekiti tatizo nini,aendelee kuwa mwenyekiti.
 
UKIONA ADUI YAKO ANAKULAUMU, JUA UMEMPIGA PAZURI. UKIONA ANAKUSIFIA, JIULIZE MARA MBILI WAPI UMEKOSEA - John Joseph Pombe Magufuli
 
Hicho chama gani ambacho uhai wake unategemea uwepo wa mtu mmoja tu. Hivi ni Mbowe peke yake anaweza kutunza hirizi ya kulinda uhai wa Chadema? Please take your thinking beyond noses.
 
Baada ya kusikiliza na kutafakri kwa kina mjadala na hoja ambazo zimekuwa zikitolewa na pande zote mbili kuhusu uenyekiti wa MBOWE, kwa mustakabali wa Maendeleo ya Nchi yetu pamoja na Demokrasia kwa sababu nitakazozitaja hapo chini nashauri ama yeye binafsi ang'atuke au kwa wanachama kumshinikiza kupitia ile lie 'nguvu ya umma' ambayo viongozi wa chama hicho wamekuwa wakiinadi waitumie.

***Miongoni mwa sababu hizo ni:

i) Hitaji la msingi mkuu wa Demokrasia la UKOMO WA MADARAKA, chadema kwa Muda sasa kimekuwa kikijitambulisha kama chama kilichojengwa juu ya misingi ya kidemokrasia, hivyo kuvikosoa vyama vingine kama CCM kwa mambo kadhaa kwa mgongo wa ukiukwaji wa Demokrasia katika masuala kadhaa. Kitendo cha Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka 14 sasa kinakifanya kukosa uhalali wa kimaadili "MORAL AUTHORITY " ya kupigania Demokrasia nchini.

ii)kufirisika na udhaifu wa Mbinu za kisiasa katika mazingira ya sasa, mathalani baaddhi ya viongozi waliokihama chama hicho akiwemo JULIUS KALANGA wamekuwa wakilalamikia maelekezo yake yanayowataka kutoshirikiana na viongozi wa Serikali katika kuwaletea maendeleo Wananchi. Pia upingaji wa kila kitu kinachofanywa na serikali hata Kama kina maslahi mapana kwa Taifa Kama vile ujenzi wa reli ya kisasa, ufufuaji wa shirika la Ndege kupitia ununuzi wa ndege za Boeing na mradi wa Umeme katika bonde la mto Ruvu, unakinzana na mahitaji halisi ya wananchi kwa sasa.

iii)Tuhuma nzito mbalimbali zinazomkabili zikiwemo kuwajengea chuki wanachama wanapo hoji masuala ya msingi kuhusu chama Kama matumizi ya ruzuku, kutowapenda watu wanaonesha nia ya kuitaka nafasi ya uenyekiti ambapo inaelezwa sababu hizo zinasababisha baadhi ya wanachama kukipa mkono wa kwa heri chama hicho Kama ilivyokuwa kwa ZITTO, MKUMBO, MWIGAMBA na WAITARA. Eneo jingine ni kugawa nafasi za wabunge wa viti maalumu kwa hawala zake!

Katika hili Mbowe ana jambo moja tu kati ya mawili kuchagua, mosi kushupaza shingo na kuziba pamba masikio Chama kimfie au kujiuzulu ili kutoa fursa kwa watu wapya kuja na mikakati mipya ili Chadema iendelee kuwepo na kuwa imara!
 
chama hikimfii,kitaendelea kuimalika,ishu hapa ni kuwa Mbowe hanunuliki
 
Nikuulize kidogo, kwa nini hoja hiyo ya Mbowe kuondoka inasimamiwa kwa kila hali na ccm? Kwa nini hao wanaokimbia ubunge au udiwani wanakimbilia ccm na kupewa nafasi kwa nguvu za dola kurudia nafasi hizo maana kama Waitara au Mtulia walikuwa wanamjua ni mzuri kabla mbona hawakuwa wanamuunga mkono akiwa upinzani?
Ruzuku kama inaliwa na Mbowe mbona Kamati kuu na hata walio ndani ya Chadema hawalalamikii hilo?
Huu ujinga ulioandika umeshachosha masikio badilikeni na mje na ubunifu mpya. Mngejaribu kuja na mbinu za kumsifu Mbowe hapo nina hakika Chadema watamchunguza na kumbwaga kwa nini hasimu wanamsifu?
 
Baada ya kusikiliza na kutafakri kwa kina mjadala na hoja ambazo zimekuwa zikitolewa na pande zote mbili kuhusu uenyekiti wa MBOWE, kwa mustakabali wa Maendeleo ya Nchi yetu pamoja na Demokrasia kwa sababu nitakazozitaja hapo chini nashauri ama yeye binafsi ang'atuke au kwa wanachama kumshinikiza kupitia ile lie 'nguvu ya umma' ambayo viongozi wa chama hicho wamekuwa wakiinadi waitumie.

***Miongoni mwa sababu hizo ni:

i) Hitaji la msingi mkuu wa Demokrasia la UKOMO WA MADARAKA, chadema kwa Muda sasa kimekuwa kikijitambulisha kama chama kilichojengwa juu ya misingi ya kidemokrasia, hivyo kuvikosoa vyama vingine kama CCM kwa mambo kadhaa kwa mgongo wa ukiukwaji wa Demokrasia katika masuala kadhaa. Kitendo cha Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka 14 sasa kinakifanya kukosa uhalali wa kimaadili "MORAL AUTHORITY " ya kupigania Demokrasia nchini.

ii)kufirisika na udhaifu wa Mbinu za kisiasa katika mazingira ya sasa, mathalani baaddhi ya viongozi waliokihama chama hicho akiwemo JULIUS KALANGA wamekuwa wakilalamikia maelekezo yake yanayowataka kutoshirikiana na viongozi wa Serikali katika kuwaletea maendeleo Wananchi. Pia upingaji wa kila kitu kinachofanywa na serikali hata Kama kina maslahi mapana kwa Taifa Kama vile ujenzi wa reli ya kisasa, ufufuaji wa shirika la Ndege kupitia ununuzi wa ndege za Boeing na mradi wa Umeme katika bonde la mto Ruvu, unakinzana na mahitaji halisi ya wananchi kwa sasa.

iii)Tuhuma nzito mbalimbali zinazomkabili zikiwemo kuwajengea chuki wanachama wanapo hoji masuala ya msingi kuhusu chama Kama matumizi ya ruzuku, kutowapenda watu wanaonesha nia ya kuitaka nafasi ya uenyekiti ambapo inaelezwa sababu hizo zinasababisha baadhi ya wanachama kukipa mkono wa kwa heri chama hicho Kama ilivyokuwa kwa ZITTO, MKUMBO, MWIGAMBA na WAITARA. Eneo jingine ni kugawa nafasi za wabunge wa viti maalumu kwa hawala zake!

Katika hili Mbowe ana jambo moja tu kati ya mawili kuchagua, mosi kushupaza shingo na kuziba pamba masikio Chama kimfie au kujiuzulu ili kutoa fursa kwa watu wapya kuja na mikakati mipya ili Chadema iendelee kuwepo na kuwa imara!
Umesahau kuweka namba yako ya simu hapo chini sasa Polepole atakutumia vipi buku 7 yako?
 
kwann huungi mkono mrema, cheyo na mangula wang'atuke? kwann unaunga mkono wanaojiuzulu ubunge kugombea tena katika majimbo yaleyale? kwann huungi mkono watu kupotea na kuuwawa. kwann huungi mkonono. ripoti ya Bashir isomwe hadharani?
 
,
Baada ya kusikiliza na kutafakri kwa kina mjadala na hoja ambazo zimekuwa zikitolewa na pande zote mbili kuhusu uenyekiti wa MBOWE, kwa mustakabali wa Maendeleo ya Nchi yetu pamoja na Demokrasia kwa sababu nitakazozitaja hapo chini nashauri ama yeye binafsi ang'atuke au kwa wanachama kumshinikiza kupitia ile lie 'nguvu ya umma' ambayo viongozi wa chama hicho wamekuwa wakiinadi waitumie.

***Miongoni mwa sababu hizo ni:

i) Hitaji la msingi mkuu wa Demokrasia la UKOMO WA MADARAKA, chadema kwa Muda sasa kimekuwa kikijitambulisha kama chama kilichojengwa juu ya misingi ya kidemokrasia, hivyo kuvikosoa vyama vingine kama CCM kwa mambo kadhaa kwa mgongo wa ukiukwaji wa Demokrasia katika masuala kadhaa. Kitendo cha Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka 14 sasa kinakifanya kukosa uhalali wa kimaadili "MORAL AUTHORITY " ya kupigania Demokrasia nchini.

ii)kufirisika na udhaifu wa Mbinu za kisiasa katika mazingira ya sasa, mathalani baaddhi ya viongozi waliokihama chama hicho akiwemo JULIUS KALANGA wamekuwa wakilalamikia maelekezo yake yanayowataka kutoshirikiana na viongozi wa Serikali katika kuwaletea maendeleo Wananchi. Pia upingaji wa kila kitu kinachofanywa na serikali hata Kama kina maslahi mapana kwa Taifa Kama vile ujenzi wa reli ya kisasa, ufufuaji wa shirika la Ndege kupitia ununuzi wa ndege za Boeing na mradi wa Umeme katika bonde la mto Ruvu, unakinzana na mahitaji halisi ya wananchi kwa sasa.

iii)Tuhuma nzito mbalimbali zinazomkabili zikiwemo kuwajengea chuki wanachama wanapo hoji masuala ya msingi kuhusu chama Kama matumizi ya ruzuku, kutowapenda watu wanaonesha nia ya kuitaka nafasi ya uenyekiti ambapo inaelezwa sababu hizo zinasababisha baadhi ya wanachama kukipa mkono wa kwa heri chama hicho Kama ilivyokuwa kwa ZITTO, MKUMBO, MWIGAMBA na WAITARA. Eneo jingine ni kugawa nafasi za wabunge wa viti maalumu kwa hawala zake!

Katika hili Mbowe ana jambo moja tu kati ya mawili kuchagua, mosi kushupaza shingo na kuziba pamba masikio Chama kimfie au kujiuzulu ili kutoa fursa kwa watu wapya kuja na mikakati mipya ili Chadema iendelee kuwepo na kuwa imara!
Wewe ni syesyemu lazima tu ufanye ivo maana uck hamlali 7bu ya mbowe hata hivo vipi makanikia mliyonunua ya akina waitala, Katanga, molele yanawalipa kwel?
 
Aondoke ili muweke mamluki, haiwezekani, kama Mbowe kuondoka iwe kwa utashi wa wanachadema wenyewe na siyo wapumbavu wa Lumumba.
 
Mbona mnamuogopa sana mbowe? Kwasababu anatumia akili kuliko nyie Mnaotumia miguvu bila maarifa
 
Deeboyfrexh said:
Binafsi nilikuwa fan wa CHADEMA O.G ila baada ya Mbowe kuleta upuuzi wa gia angani sikuona jipya zaidi ya kubaki CCM O.G
Rudia kusoma ulichoandika.
 
Back
Top Bottom