Mbowe: CHADEMA iko kwenye mazungumzo na ACT Wazalendo kuachiana nafasi za kugombea kuanzia Urais hadi Udiwani Bara na Visiwani

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema chama hicho kipo katika mazungumzo ya kufanya ushirikiano wa kuachiana nafasi ikiwemo ya Urais kwa upande wa Zanzibar na pia baadhi ya majimbo na kata nchini na Chama cha ACT-Wazalendo.

MBOWE :Tupo katika mazungumzo na ACT-Wazalendo
 
Nitaona upinzani wanazero brain wakimpa Membe ndiye agombee kiti cha urais bara
 
#HABARI Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amesema chama hicho kipo katika mazungumzo ya kufanya ushirikiano wa kuachiana nafasi ikiwemo ya Urais kwa upande wa Zanzibar na pia baadhi ya majimbo na kata nchini na Chama cha ACT-Wazalendo. MBOWE :Tupo katika mazungumzo na ACT-Wazalendo
Mcc vima yanagonga pichu baada ya kusikia tamko la Kamanda Mbowe.
 
Ni jambo jema sana na wakifanikiwa kushinda Urais hakuna ubaya wowote ule wa kuunda Serikali ya MSETO. Na kura zikihesabiwa hadharani Lissu ni lazima aibuke KIDEDEA.

#HABARI Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amesema chama hicho kipo katika mazungumzo ya kufanya ushirikiano wa kuachiana nafasi ikiwemo ya Urais kwa upande wa Zanzibar na pia baadhi ya majimbo na kata nchini na Chama cha ACT-Wazalendo. MBOWE :Tupo katika mazungumzo na ACT-Wazalendo
 
Nategemea kuona Membe akiwa mgombea urais na Lissu mgombea mwenza tofauti na hapo kura yangu nampa JPM mapema kabisa bila kupepesa macho na bila tashwishwi.
 
Back
Top Bottom