Memo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 2,157
- 760
umeona watu wasio na gubu kama wewe??!!Hakuna hata siku moja harambee ya kuchangia radio Iiman bali kuna kila mwenye swadaka yake katika kuboresha na kukuza coverage ya Radio hiyo basi na atoe pasi na kujinadi ametoa kiasi gani.
Lakin cha msingi ni kuwa Radio Iman kuanzia taarih 15 Dec 2011, inaingizwa katika satellite na kuweza kusikika dunia nzima kwa njia ya mtandao. Inaunganisha na Satellite ya http://www.lyngsat.com/intel906.
Hongera sana Nahdi kwa maendeleo makubwa ya radio hiyo
wao wanataka maendeleo tu..........harambee imefanyika na msikiti unajengwa, watu wataswali humo na maisha yataendelea.
vijana watajipanga kupandisha watalii mlima kilimanjaro, watapata mihela, na maisha yataendelea
miti itapandwa, mazingira yataboreka, na maisha yataendelea.
Wewe kalia hadith tu na extremism.